Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

Tafuta hela

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 

hizo pesa wanazipata ukimsikiliza mbunge msukuma anasimulia yeye akiingia super market kuna watu hufanya shopping za ajabu na anakueleza walipo zipata
 
usivunjike moyo mdogo wangu,,wewe ndio mjanja!! hao waliokuwa wanakucheka ndio wajinga!!!!!
 
Wahudumu wengi wa counters maeneo kama hayo huwa ni wapigaji coz wateja mara nyingi huwa hawaulizi bei ya kitu kulingana na u-class wa eneo so wame-take advantage hiyo na kuifanya sehemu yao ya kujiongezea kipato
 
Nimecheka Sijui kwa nn??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…