Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

Starehe ni gharama
 
Diamond saiz VIP pale, Maji 3000
 
Kisehemu chenyewe mbona kimekaa ki local local tu hakina standards?
 
Nilichanganyikiwa mkuu, nikapiga Las Vegas, nikapita diamond kufika corner ya bwiru ndio akili ikarudi nikaona Cha kufika nini? Acha nikalale tu.
 
Nakubali mkuu, unawapa na VRN km unayo [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…