Ndo maana siku zote anayetumia kichwa cha juu kukiongoza cha chini anafurahia maisha zaidi na anapata mwanamke mzuri anayemtaka wakati wote. AKILI KUBWA HAIFELI.Siku zote kichwa cha chini hakikupi nafasi ya kufanya risk analysis
Khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitumia kondomu ,...mademu wa udsm wanaokaa mabibo hostel wan UTI ,baada ya week mbili basi utakuwa una fungus + UTI
wanashindaga ibungu mnooKhaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanashindaga ibungu mnoo
Hi chai, mtu mwenye kumiliki gari nyumba famila hawezi kurisk maisha yake na ya familia kuacha mlago wazi kutembea usiku wa manane kisa mbususu!!!!!
Mkuu ulirequest uber vipi wakati washafunga vilago
Mkuu ulipotoka tu Mkeo alinipigia nikaja tukamaliza chap chap! Najua hauwezi kuamini ila nimeunganisha dots nimegundua kumbe ni mkeo! Halafu sikujua maana alinipigia usiku nije chap nikamuuliza kulikoni akajibu wewe njoo mume wangu hayupo na akanithibitishia chap nikasogea hapo nikapiga viwili akaniambia rudi fasta wakati unarudi tulipishana kidogo sana! Ungewahi kuangalia hapo kitandani ungeona culture yangu nilisahau hapo!
Hivi si nilisikia uber ilifungasha? Au imerudi tena?
Aisee abdalah kichwa panzi akisimama akili inapotea
Jana usiku saa sita kasoro nilikuwa nacheki series moja sebuleni wife akiwa amelala chumbani. Saa sita kamili nikawa
Kazi ya kichwa cha chini ndio hiyo, maana kuna siku nilitaka nimgegede mwanamke dukani cha kushukuru alitokea mteja lkn badae nilijiona mjinga sana kama ningetimiza lile jambo
Hata Sky City nayo ipo karibuKasema Magufuli Hostel, na kama ni kweli basi Hotel lazima alienda PICKNIC HOTEL ipo nje ya Kituo cha Daladala cha Mawasiliano maana ndio ina Ghorofa[emoji2]
We ni miongoni mwa watu wapumbavu unaejiona muelevu