Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Umekurupuka.N
Ni kweli hakukuwa na goli la penati au unaota ?
F.A Cup Simba 4 Yanga 1 with penati
Ligi Simba 1 Yanga 5 with penati
Ligi Simba 1 Yanga 2 with penati
Jumla Simba 6 Yanga 8 tofauti ya goli 2 mji mzima matemate na mabango juu.
Kweli maskini akipata.
Ile droo ilikuwa ni zuga tu wakipanga kulinganana ubora, timu kubwa kwa timu kubwa na ndogo kwa ndogo.
Hapana wa kwanza ni hawa hapaMbumbumbu wa kwanza atakuwa nk Hersi aliyesema fainali ni Mamelodi na Al Ahly
Jana nimedharau sana soka la Afrika nimeongeza kipimo cha dharau. Afrika ni takataka kwenye kila kitu.Mazembe walimalizwa nguvu kwa kunyimwa goli lao, chuma kimeitika.
Ahly walishakubali kuweka ngoma kati bila kelele, VAR room ikapokea maagizo toka juu.
Chuma ikakataliwa.
Siyo supercup,bingwa wa supercup ni USM AlgerPia ndio mabingwa wa Super Cup, jamaa kutolewa kwenye michuano haimaanishi kwamba wao ni vibonde
Mamelodi pia ameishia robo fainali mara 3,jana ndio katika nusu fainali mara ya pili kibahati bahati,hapo naongelea miakasaba ya nyumaKati ya Simba na Mamelodi ipi timu kubwa?
Utakuwa usiyejua mpira kama droo ya Al Ahly vs Simba ukaona ni timu kubwa dhidi ya timu kubwa. Simba inayoishia robo fainali misimu yote haiwezi kuwa kubwa hata kombe moja hawana.
Nadhani fikra zake zilikuwa AFLSiyo supercup,bingwa wa supercup ni USM Alger
Leo nimeamka na stress zangu ila aisee hii video nimecheka kwa sauti.Hapana wa kwanza ni hawa hapa
Bado haujanijibu swali ni kipi kinaipa ukubwa Simba mbele ya Mamelodi?Mamelodi pia ameishia robo fainali mara 3,jana ndio katika nusu fainali mara ya pili kibahati bahati,hapo naongelea miakasaba ya nyuma
Nilitaka kumaanisha African Football League mzeeSiyo supercup,bingwa wa supercup ni USM Alger
Sahihi kabisaNadhani fikra zake zilikuwa AFL
Criteria nitoe mimi tena, toa wewe uliyewapa Simba ukubwa dhidi ya Mamelodi.Toa criteria
Akitoboa?Al Ahly hawezi kutoboa kwa Es Tunis hata siku moja!
Head to head Al Ahly vs Mamelody Sundowns kwa miaka mitano mfululizo "2019-2024" Al Ahly ni Mchumba tu, tena hizo 5 zimejirudia nyingi na 4, ila Mbumbumbu hamna hata chembe ya uelewa, Aden Rage ajengewe sanamu haraka sana iwezekanavyo.Kuna siku mbaya kwenye mpira. Siku tu inatokea kila short on target ni goli, haimaanishi kwamba nyinyi ni wabovu.
Huu utetezi wako umekaa kimabango mabango.Head to head Al Ahly vs Mamelody Sundowns kwa miaka mitano mfululizo "2019-2024" Al Ahly ni Mchumba tu, tena hizo 5 zimejirudia nyingi na 4, ila Mbumbumbu hamna hata chembe ya uelewa, Aden Rage ajengewe sanamu haraka sana iwezekanavyo.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.