Jana usiku Mashabiki mbumbumbu wa Tanzania ndio wamejua Al Ahly ni bora kuliko Mamelodi!

Jana usiku Mashabiki mbumbumbu wa Tanzania ndio wamejua Al Ahly ni bora kuliko Mamelodi!

Ile droo ilikuwa ni zuga tu wakipanga kulinganana ubora, timu kubwa kwa timu kubwa na ndogo kwa ndogo.

Kati ya Simba na Mamelodi ipi timu kubwa?
Utakuwa usiyejua mpira kama droo ya Al Ahly vs Simba ukaona ni timu kubwa dhidi ya timu kubwa. Simba inayoishia robo fainali misimu yote haiwezi kuwa kubwa hata kombe moja hawana.
 
Mazembe walimalizwa nguvu kwa kunyimwa goli lao, chuma kimeitika.
Ahly walishakubali kuweka ngoma kati bila kelele, VAR room ikapokea maagizo toka juu.
Chuma ikakataliwa.
Jana nimedharau sana soka la Afrika nimeongeza kipimo cha dharau. Afrika ni takataka kwenye kila kitu.
 
Mamelodi toka amehama kwenye mfumo wake wa uchazaji amebadilika na kuwa kawaida.Nadhani Bado wanahitaji kuboresha mbinu za kutafuta goli pale mpinzani anapokuwa na idadi kubwa ya wachezaji kwenye final third
 
Kati ya Simba na Mamelodi ipi timu kubwa?
Utakuwa usiyejua mpira kama droo ya Al Ahly vs Simba ukaona ni timu kubwa dhidi ya timu kubwa. Simba inayoishia robo fainali misimu yote haiwezi kuwa kubwa hata kombe moja hawana.
Mamelodi pia ameishia robo fainali mara 3,jana ndio katika nusu fainali mara ya pili kibahati bahati,hapo naongelea miakasaba ya nyuma
 
Mamelodi pia ameishia robo fainali mara 3,jana ndio katika nusu fainali mara ya pili kibahati bahati,hapo naongelea miakasaba ya nyuma
Bado haujanijibu swali ni kipi kinaipa ukubwa Simba mbele ya Mamelodi?
 
Kuna siku mbaya kwenye mpira. Siku tu inatokea kila short on target ni goli, haimaanishi kwamba nyinyi ni wabovu.
Head to head Al Ahly vs Mamelody Sundowns kwa miaka mitano mfululizo "2019-2024" Al Ahly ni Mchumba tu, tena hizo 5 zimejirudia nyingi na 4, ila Mbumbumbu hamna hata chembe ya uelewa, Aden Rage ajengewe sanamu haraka sana iwezekanavyo.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Huu utetezi wako umekaa kimabango mabango.
 
Back
Top Bottom