Jana usiku nililirusha mwenyewe

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Yaani nilifikiria kula kwa kibanda umiza nikaona wacha ninunue yai 2 na nyanya za jero na unga nusu na robo nikaliamsha dona la maana na mboga ile ya yai mchanganyiko na nyanya aisee lilishuka hatari. Kuwa single raha sana vijana msikimbilie maisha hali saa hivi ni ngumu
 
Mzee baba unaishi stoo 😀 😀
 

Aliyeelewa anamaanisha nini anisaidie maana sijamwelewa mtoa mada kabisa
 
Maisha ya usingle Yana Raha sana..mie nikiona tambi,sausage na macaroni nakumbukia usingle life! Lakini maisha ya familia lazima maharage yawepo😖😖! Mara wali🤸🤸! Ah
 
Mkuu hicho kitanda unalalaje maana upande wa kichwa kunaonekana kunabonyea! Hivyo ukilala kiwiliwili kinakuwa juu kichwa kinakimbilia chini😅
Huoni huo ndo mwanzo wa ndoto za mizumi au ndo tuseme daraja la mfugale..😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…