Jana usiku nililirusha mwenyewe

Jana usiku nililirusha mwenyewe

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Yaani nilifikiria kula kwa kibanda umiza nikaona wacha ninunue yai 2 na nyanya za jero na unga nusu na robo nikaliamsha dona la maana na mboga ile ya yai mchanganyiko na nyanya aisee lilishuka hatari. Kuwa single raha sana vijana msikimbilie maisha hali saa hivi ni ngumu
IMG_20200618_103914.jpg
 
Yaani nilifikiria kula kwa kibanda umiza nikaona wacha ninunue yai 2 na nyanya za jero na unga nusu na robo nikaliamsha dona la maana na mboga ile ya yai mchanganyimo na nyanya aisee lilishuka hatari.kuwa single raha sana vijana msikimbilie maisha hali saa hivi ni ngumuView attachment 1482189
Mzee baba unaishi stoo 😀 😀
 
Aliyeelewa anamaanisha nini anisaidie maana sijamwelewa mtoa mada kabisa
 
Yaani nilifikiria kula kwa kibanda umiza nikaona wacha ninunue yai 2 na nyanya za jero na unga nusu na robo nikaliamsha dona la maana na mboga ile ya yai mchanganyimo na nyanya aisee lilishuka hatari.kuwa single raha sana vijana msikimbilie maisha hali saa hivi ni ngumuView attachment 1482189
Maisha ya usingle Yana Raha sana..mie nikiona tambi,sausage na macaroni nakumbukia usingle life! Lakini maisha ya familia lazima maharage yawepo😖😖! Mara wali🤸🤸! Ah
 
Yaani nilifikiria kula kwa kibanda umiza nikaona wacha ninunue yai 2 na nyanya za jero na unga nusu na robo nikaliamsha dona la maana na mboga ile ya yai mchanganyimo na nyanya aisee lilishuka hatari.kuwa single raha sana vijana msikimbilie maisha hali saa hivi ni ngumuView attachment 1482189
Mkuu hicho kitanda unalalaje maana upande wa kichwa kunaonekana kunabonyea! Hivyo ukilala kiwiliwili kinakuwa juu kichwa kinakimbilia chini😅
Huoni huo ndo mwanzo wa ndoto za mizumi au ndo tuseme daraja la mfugale..😂😂
 
Back
Top Bottom