Inawezeakana kuna mahusiano ndio maana unaambiwa asubuhi kabla ya kazi unyweSasa kunywa chai inamahusiano gani na swali nililouliza? Ungenijibu tu kuwa hiyo sentensi ya kurusha mwenyewe ina maana gani, maana kiswahili ni kipana.
Mayai mawili unabakisha?😀Weeee!!mboga imebaki ya mchana sijaimaliza hata
SafiiiNdio nataka nilifufue la kuwashikia watoto wa watu[emoji23][emoji23]
HahaaaNashangaa wakati wa dada wanalitamani
[emoji41] [emoji41] [emoji41]Hapo nikipata sab ufer tuu naanza kuwaingiza ndani kiulaini
Kuna watu ni wachafu kupitiliza , ila ukiwaona barabarani wamevaa mikanda nje , hutaaminiYaani nilifikiria kula kwa kibanda umiza nikaona wacha ninunue yai 2 na nyanya za jero na unga nusu na robo nikaliamsha dona la maana na mboga ile ya yai mchanganyiko na nyanya aisee lilishuka hatari.kuwa single raha sana vijana msikimbilie maisha hali saa hivi ni ngumuView attachment 1482189