Jana usiku nililirusha mwenyewe

Jana usiku nililirusha mwenyewe

Sasa kunywa chai inamahusiano gani na swali nililouliza? Ungenijibu tu kuwa hiyo sentensi ya kurusha mwenyewe ina maana gani, maana kiswahili ni kipana.
Inawezeakana kuna mahusiano ndio maana unaambiwa asubuhi kabla ya kazi unywe
 
Yaani nilifikiria kula kwa kibanda umiza nikaona wacha ninunue yai 2 na nyanya za jero na unga nusu na robo nikaliamsha dona la maana na mboga ile ya yai mchanganyiko na nyanya aisee lilishuka hatari.kuwa single raha sana vijana msikimbilie maisha hali saa hivi ni ngumuView attachment 1482189
Kuna watu ni wachafu kupitiliza , ila ukiwaona barabarani wamevaa mikanda nje , hutaamini
 
Back
Top Bottom