Jana usiku nililirusha mwenyewe

Je wanaoishi kwa wajomba, shangazi, baba mdogo, mama mdogo, kaka ,dada etc wanaruhusiwa kuponda ?

Maana huwa naona wanaosakamwa ni wale wanaoishi kwa mashemeji tu as if hakuna wanaokula na kulala kwa ndugu
 
Wote group moja hao. Hawana tofauti. Ila waliotia fora sana ni wale Dada kaolewa sehemu flani baasi na yeye jamaa anatia timu. Yaani Dada akiharibu tu hajatoa penzi vizuri kabana miguu baasi jamaa yeye na Dada yake wote wanafungashwa virago.
Sasa mtu wa namna hii aje na jeuri yake hapa jf kuwafundisha watu maisha?! Hiyo itakua dhambi. Atulie tu hivyo hivyo mpk atakapoanza maisha.
 
Nice
 
Nimekupa like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…