Janabi amepandisha sana gharama za matibabu Muhimbili anaenda kuwa mshauri wa Rais? Mnataka Watanzania wafe zaidi?

Watu wa kujirusha mitandaoni awamu hii wanakula bila kuwaza, RC Dar, RC Dodoma, RC Arusha na Janabi
 
Sasa hayo matukio yatafanyika hadi lini? Na kama kuna huo mchezo wa hayo matukio basi siku watafanyiwa hayo matukio hata yule msiyetaka afanyie hilo tukio.
Kwa hawa wanauza bandari zetu,wanaobariki matukio yasiyofaa kwenye jamii,hata kama ni huyo Yesu ama Mud afanyiwe tu mimi sihitaji mtawala bali ninahitaji kiongozi.

Mmasai wa Ngorongoro naye asemeje?
 
Huu wa
Yote 9, wamenichosha na gharama ya parking... Ukijichanganya unalipa elfu 7, 10 na kuendelea, wakati mlolongo wa kupoteza muda kupata huduma wao ndio wasababishi.

Parking ndio ilinishangaza hii nchi mwenye pesa hana huruma aisee
 
Umetoa somo zuri na ukweli mtupu. Lakini Kuna wajinga utawasikia mitano tena kwa Jimama
 
Mimi sishangai hata WHO wanaweza mteua,mzee anapenda kusikilizwa/muongeaji na kitu akikinua anakuambia black and white,he knows his stuff in and out take it or leave it,kuna madaktari wengi sana TZ,mtu km mzee Sarungi zinakuaga tunu za taifa,angekua mzungu yule wote mgekua mnamnyenyekea lkn kwakua ametokea mashamba ya Kagera mnamponda
Baba piga kazi kelele waachie vyura
 
Kuwa daktari hakukufanyi kuelewa management ya afya.

Janabi hawajawai hata kufanya kazi kwenye administration za serikali (hana succession) planning ya serikali.

Tanzania sijamsikia mtu ambae anaelewa management ya wizara ya afya kumzidi Dr Dorothy Gwajima.

Sio ushabiki ni uhalisia

Management ya afya inahusisha masomo ya finance. Ndio maana ile team ya Ummy Mwalimu na yule Dr wake (jina limenitoka) iliweza jibu on merit za service costing za huduma za afya kuhusu bei ambazo private hospitals wanadai.

Kama unaelewa services costing ile team ilijibu kitaalamu you can yule Dr wake alikuwa ni trained kwenye maswala ya management. So is Dorothy Gwajima ukiangalia video zake alipokuwa naibu katibu mkuu wizara ya afya

Janabi is just a doctor hana managerial skills, worst kama unaelewa medicine, I wouldn’t hire him to be a president doctor kwa ushauri wake wa afya.
 
Mkuu nchi inakopa unafikiri utapata kitu cha bure kwenye huduma za serikali?,impossible
 
Mkuu nchi inakopa unafikiri utapata kitu cha bure kwenye huduma za serikali?,impossible
Kwanza waache kutunga budget za uongo.

Pili waweke watu wenye sifa sahihi kwenye wizara ambao; serikali imewatengeneza kwenda kuwa senior servants wa wizara.

Uhalisia ni kwamba Dorothy Gwajima ametengenezwa kushika nafasi ya kuwa katibu mkuu wa wizara.

Training yake ndio ingeweza saidia kudadavua service costing za afya.

Na yule Daktari aliekuwa team leader kwenye team ya ‘ummy mwalimu’ ya kujibu hoja za malipo ya NHIF dhibi ya madai ya huduma binafsi kuhusu gharama zao you can tell he was a trained medic in management (japo he is not in public life) nonetheless he is a technocrat ukimsikiliza.

Sasa sio serikali aina wataalamu, ila huko mamlaka ya teuzi tumejaza wajinga. Yaani yule jamaa wa ummy mwalimu angekuwa waziri afya na Dorothy Gwajima katibu mkuu wake; au vice versa. Wasingeweza maliza matatizo ya afya ila wangeiboresha sana sector.

Janabi he is just a surgeon, doesn’t come across trained to manage health sector kama Dorothy Gwajima au yule jamaa wa team ya Ummy Mwalimu; inataka uelewa wa health management kuona tofauti zao.
 
Sijui kama bado wanaendelea kushikilia maiti kwa mtu aliyeshindwa kulipa gharama za matibabu ya marehemu!
 
Umeongea kweli mkuu marupurupu wanayoyopata ni hadi mara mbili ya mishahara halisi kuanzia juu Hadi chini
 
Kwa hiyo kichaa kimeanza kupona au bado? Dawa unakunywa lakini?
 
Afya imegeuzwa kuwa chanzo cha mapato asee
 
Sikiliza bro, mgonjwa wajibu wake ni kuelezea matatizo aliyonayo yaani main complains tu. Sasa daktari kazi yake ni kudadavua matatizo ya mgonjwa na hatimae kufikia ugonjwa alionao mgonjwa yaani anachokonoa hata yale mgonjwa hakujieleze. Na ndio maana kusomea udaktari inachukua muda mrefu. Kwa mtu anayetakiwa kuwa proactive ni daktari na siyo mgonjwa. Usitetee ujinga.
 
Kutwa wananunua mashangingi + ufisadi wa mali za umma.
Wenyewe hao wakubwa hata kodi hawalipi, ila wanapata huduma zote bure kabisa, na sio hapa Tanzania bali nje ya nchi. Wananchi wengine wa hali ya chini kodi wanalipa na huduma zote wanalipia kuanzia mashuleni, mahospitalini tena zenye kiwango duni kabisa. Kuna watu watasema mbona shule ni bure! Sio kweli kabisa, hakuna shule ya bure Tanzania labda huko kuzimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…