milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Watu wa kujirusha mitandaoni awamu hii wanakula bila kuwaza, RC Dar, RC Dodoma, RC Arusha na Janabi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hawa wanauza bandari zetu,wanaobariki matukio yasiyofaa kwenye jamii,hata kama ni huyo Yesu ama Mud afanyiwe tu mimi sihitaji mtawala bali ninahitaji kiongozi.Sasa hayo matukio yatafanyika hadi lini? Na kama kuna huo mchezo wa hayo matukio basi siku watafanyiwa hayo matukio hata yule msiyetaka afanyie hilo tukio.
Yote 9, wamenichosha na gharama ya parking... Ukijichanganya unalipa elfu 7, 10 na kuendelea, wakati mlolongo wa kupoteza muda kupata huduma wao ndio wasababishi.
Umetoa somo zuri na ukweli mtupu. Lakini Kuna wajinga utawasikia mitano tena kwa JimamaUlizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.
Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.
Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.
Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
Wanathibitisha mwenye shibe hamjui mwenye njaaHuu wa
Parking ndio ilinishangaza hii nchi mwenye pesa hana huruma aisee
Unaambiwa anachapa kuanzia house girls hadi mashemeji.Afu yule jamaa ni mgonjwa eti?
Mimi sishangai hata WHO wanaweza mteua,mzee anapenda kusikilizwa/muongeaji na kitu akikinua anakuambia black and white,he knows his stuff in and out take it or leave it,kuna madaktari wengi sana TZ,mtu km mzee Sarungi zinakuaga tunu za taifa,angekua mzungu yule wote mgekua mnamnyenyekea lkn kwakua ametokea mashamba ya Kagera mnampondaUlizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.
Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.
Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.
Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
Kuwa daktari hakukufanyi kuelewa management ya afya.Mimi sishangai hata WHO wanaweza mteua,mzee anapenda kusikilizwa/muongeaji na kitu akikinua anakuambia black and white,he knows his stuff in and out take it or leave it,kuna madaktari wengi sana TZ,mtu km mzee Sarungi zinakuaga tunu za taifa,angekua mzungu yule wote mgekua mnamnyenyekea lkn kwakua ametokea mashamba ya Kagera mnamponda
Baba piga kazi kelele waachie vyura
Mkuu nchi inakopa unafikiri utapata kitu cha bure kwenye huduma za serikali?,impossibleKuwa daktari hakukufanyi kuelewa management ya afya.
Janabi hawajawai hata kufanya kazi kwenye administration za serikali (hana succession) planning ya serikali.
Tanzania sijamsikia mtu ambae anaelewa management ya wizara ya afya kumzidi Dr Dorothy Gwajima.
Sio ushabiki ni uhalisia
Management ya afya inahusisha masomo ya finance. Ndio maana ile team ya Ummy Mwalimu na yule Dr wake (jina limenitoka) iliweza jibu on merit za service costing za huduma za afya kuhusu bei ambazo private hospitals wanadai.
Kama unaelewa services costing ile team ilijibu kitaalamu you can yule Dr alikuwa ni trained kwenye maswala ya management. So is Dorothy Gwajima ukiangalia video zake alipokuwa naibu katibu mkuu wizara ya afya
Janabi is just a doctor hana managerial skills, worst kama unaelewa medicine, I wouldn’t hire him to be a president doctor kwa ushauri wake wa afya.
Kwanza waache kutunga budget za uongo.Mkuu nchi inakopa unafikiri utapata kitu cha bure kwenye huduma za serikali?,impossible
Umeongea kweli mkuu marupurupu wanayoyopata ni hadi mara mbili ya mishahara halisi kuanzia juu Hadi chiniUkisikia falsafa ya unyonyaji wananchi kupitia mashirika na taasisi ya umma ndicho kitu kinaendelea tanzania. Hizo ndio R nne. Watumishi hawahitaji uwekezaji binafsi wowote kupata gawio kutoka serikalini. Kinachofanyika ni kuwanyonya wananchi kwenye huduma ambapo serikali imewekeza fedha za umma. Ukichunguza kwa uhakika utakuta vigogo sehemu kama muhimbili kuanzia wakurugenzi mameneja wa vitengo hadi madaktari na wataalam ndio wafaidika na gharama kubwa wanazotozwa umma wa wananchi. Kuna marupurupu ya kutisha nje ya malipo rasmi.
🤣🤣🤣AiseeeUnaambiwa anachapa kuanzia house girls hadi mashemeji.
Kwa hiyo kichaa kimeanza kupona au bado? Dawa unakunywa lakini?Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.
Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.
Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.
Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
Afya imegeuzwa kuwa chanzo cha mapato aseeUlizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.
Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.
Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.
Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
Mikopo toka western countries hio wakuu mabosi hawalipi bali wanalipa wananchiAfya imegeuzwa kuwa chanzo cha mapato asee
Sikiliza bro, mgonjwa wajibu wake ni kuelezea matatizo aliyonayo yaani main complains tu. Sasa daktari kazi yake ni kudadavua matatizo ya mgonjwa na hatimae kufikia ugonjwa alionao mgonjwa yaani anachokonoa hata yale mgonjwa hakujieleze. Na ndio maana kusomea udaktari inachukua muda mrefu. Kwa mtu anayetakiwa kuwa proactive ni daktari na siyo mgonjwa. Usitetee ujinga.Ultrasound ya Muhimbili unafanyiwa na Radiologist ambaye ni Specialist, uktrasound ya mtaani unafanyiwa na Sonographer ambaye qualifications zake huzifahamu hiyo pekee inajustify bei.
Daktari usipokuwa proactive kwenye kuhoji basi atakuhudumia hizo dakika chache ili mwengine aingie.
Kutwa wananunua mashangingi + ufisadi wa mali za umma.Mikopo toka western countries hio wakuu mabosi hawalipi bali wanalipa wananchi
Hapana yeye ni daktari wa Jakaya Mrisho Kikwete. Aliyekuwa daktari wa JPM ni Peter KisengeNdiye aliyekuwa daktari wa JPM.
Wenyewe hao wakubwa hata kodi hawalipi, ila wanapata huduma zote bure kabisa, na sio hapa Tanzania bali nje ya nchi. Wananchi wengine wa hali ya chini kodi wanalipa na huduma zote wanalipia kuanzia mashuleni, mahospitalini tena zenye kiwango duni kabisa. Kuna watu watasema mbona shule ni bure! Sio kweli kabisa, hakuna shule ya bure Tanzania labda huko kuzimu.Kutwa wananunua mashangingi + ufisadi wa mali za umma.