Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

Watu nuksi kwenye ubora weno..!
 
Wapumbavu na malofa kazi kufatilia maisha ya watu
 
Sioni akipita maana ndugulile hawakumnadi hivyo kwa nguvu kubwa, binafsi Janabi simkubali na hatopita acha wachezee pesa zao za kampeni.
 
Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
Na kama wakimpa basi WHO itakua imejishushia hadhi sana asee... Haitakua na tofauti na Ngo ya Steve Nyerere, Mama Ongea na Mwanao😄😄
 
Nguvu Kubwa inayotumika kumnadi na Mimi inanipa mashaka na uwezo wake kimataifa.... JK anazurura naye huko kumnadi....

Internationally inaonekana Yuko very poor.....
 
Mkuu si ungetoa hoja na wewe za kuonesha anafaa?
Nyumbu wa chadema ndio wanaona hafai wengine hata lugha ya kiswahili kuandika inawashinda wanapata wapi sifa ya kumnanga Jabali Kama Janabi?🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom