Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
bila chuki binafsi wala upendeleo,Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
hebu waeleze wadau wa JF,
ni mgombea wa nchi gani sasa ana exposure, uzoefu katika tiba na tafiti lakini pia ni mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya kitaifa walau nchini mwake kama ilivyo Prof Janabi 🐒