Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

Chawa wa Janabi wanakuja kukupopoa.
 
Sioni akipita maana ndugulile hawakumnadi hivyo kwa nguvu kubwa, binafsi Janabi simkubali na hatopita acha wachezee pesa zao za kampeni.

bila chuki binafsi wala upendeleo,

hebu waeleze wadau wa JF,
ni mgombea wa nchi gani sasa ana exposure, uzoefu katika tiba na tafiti lakini pia ni mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya kitaifa walau nchini mwake kama ilivyo Prof Janabi 🐒
Hizo hazitoshi kuwa sifa za kushinda acheni mihemko nina imani nchi ina watu makini kuliko janabi ila tu kwa interest ya samia na jk basi mnataka kutulazimisha tumkubali

Na ashindwe tu
 
Itakuwa maajabu endapo WHO watampatia nafasi MTU Kama Janabi ambaye ana uwezo duni wa mambo ya AFYA na kuwaacha hao wataalamu .

Nchi ambayo inampa uwaziri wa Afya MTU mwenye certificate ya ualimu wa primary aaaah we are not serious.

Janabi Elimu yake ni ya Ku-google
 
Hivi awa jamaa wanamchezea Mungu ehee.
Aliwapa nafasi moja mkashindwa kuilinda na kuitunza, sasa mnataka awape tena, kwani mnafikiri uyu Mungu ndo anaipenda Sana Tanzania kuliko nchi nyingine, kwamba kila inapotokea nafasi basi ni Tanzania tu.
Hata nchi hizo zenye wagombea nao pia wanamuamini Mungu na Mungu pia anawapenda..
Swala la Janabi kupita kwenye kinyanganyiro ni mtihani Mkubwa Sana .
Labda miujiza.
Hili linashangaza kwa kweli yani Tanzania wameshajiwekea hiyo nafasi ni yao nina imani nchi nyingine zinaona hili na zifanye kweli janabi asipite
 
Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
Hata kwenye hizo nadharia hazungumzi kama daktari au mtu aliyesoma sayansi.

Pamoja na yote haya tumuunge mkono aiheshimeshe nchi. Mengine watatenda waliokuwa chini yake. Tumtakie kila lenye heri apate kutoboa
 
heri Janabi ana vyeti ila waziri wa afya ndo ananiacha hoi, hivi ana degree yule?
 
Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
Afya ya kimataifa inatofauti gani na afya ya Tanzania? Kwani haujui hata Tanzania ni kimataifa ukiwa Somalia?
 
Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
Ana nadharia za 'Kisabato' za ulaji wa vyakula lakini hana sifa ya kupewa cheo kikubwa hicho
 
Na kama wakimpa basi WHO itakua imejishushia hadhi sana asee... Haitakua na tofauti na Ngo ya Steve Nyerere, Mama Ongea na Mwanao😄😄
Wala WHO haina tena hadhi baada ya Marekani kujiondoa na WHO itakosa 500 million dollars. wakati China Mwenye zaidi ya watu Billioni mmoja anachanga dola million 26 tu.
 
Kwa Kigezo cha CV iliyoshiba kulingana na hicho cheo, wa kwetu anapigwa KO.

Wakwetu kajikita sana Tanzania, nje ya Tanzania hana uzoefu wowote.

Yule mGuinne kafanya kazi WHO Afrika kwa miaka 27.kazunguka Afrika.
 
Back
Top Bottom