super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Kampeni yake imeishia wapi???Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
Mbona pamepoa
Kampeni yake imeishia wapi???Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
May 18, matokeoKampeni yake imeishia wapi???
Mbona pamepoa
in fact, anatia mashaka sana hata uwezo wake wa kutibu kwa sababu ameingiza siasa kwenye taaluma, na akaidharaulisha sana tasnia ya udaktari. mimi huwa namwona kama kielelezo cha comedy. hata africa sijui atatuwakilisha nini.Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
Kuna watu wanasema ni mccm!?Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
Hao walikuwa ni majangala/vihiyo, yaani kuichukia CCM unahamishia chuki mpaka kwa individuals experts wanotakiwa kupeperusha bendera ya TZ, hawakuijua CV ya Janab , au umbulula tu, haya yako wapi sasa?Mara ooh, Janabi hana Exposure, mara ooh.......
Kura zote = Kura 46Mara ooh, Janabi hana Exposure, mara ooh.......

Sijui leo utaficha sura yako wapi! Au utaibuka na swagga zengine!? Ahahahahaha!!!Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
Bado hamjasema 😂Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
Dua la kuku halimpati mwewe😎Naomba WHO wampige chini
VOTING RESULTS:Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
Hapo je?VOTING RESULTS:
1. 🇹🇿 Prof Yakub Janabi: 32
2. 🇨🇮 Dr N’da Konan Yao: 5
3. 🇬🇳 Mohamed Drame: 4
4. 🇹🇬 Prof Moustafa Mijiyawa: 4
Haijalishi, awe mccm, mcdm, muslim,mchauma, MCatholic, Mpagani, Maethiest, lakini amepita by meritsKuna watu wanasema ni mccm!?
