Hata kabla ya Hu Jintao uchumi wa China ulikuwa unakua.
Iko hivi China mwaka 2001 kipindi raisi akiwa Jiang Zemin ilijiunga na WTO
Moja ya manufaa makubwa China alipata baada ya kujiunga na shirika hilo la biashara duniani WTO ni kuanza kuexport kwa kiasi kikubwa bidhaa zake duniani.
Na kuanzia hapo uchumi wa China ulianza kukua kwa kasi hadi kufikia 10% na point kadhaa
Mwaka 2007 ikaizidi Ujerumani ikawa ya 3 kiuchumi duniani mwaka 2010 ikaipita Japan ikawa ya 2 duniani
Hoja iko hapa: Hu Jintao aliingia madarakani mwaka 2003 kwa hiyo alikuta tayari mtangulizi wake Jiang Zemin ameifanya China kuwa member wa WTO tangu mwaka 2001
Kwa hiyo Hu Jintao akaanza kuvuna matunda yaliyohasisiwa na mtangulizi wake Jiang Zemin.
Ndio maana mimi na
TPP sikuzote tunasema taifa la China wana dira na sera ya taifa ambayo kiongozi yotote wa CPC anaifuta lengo kuukuza uchumi wa China
Comrades wote kuanzia Mao mpaka kufikia Xi lengo lao ni moja kuikuza China