Huna ujanja wa kuzitaja sababu hujui Uchumi na pia zitakuumbua. Uchumi haupatikaniki kihuni kama unavyotuletea ngonjera humu. Hao unaowaabudu ndo wapika data maarufu na uchumi wao unaendeshwa kiproganda, utapeli na kuprint hela wanavyotaka.
Ngoja nikusaidie kufafafua; na jitahidi kutaka kuelewa siyo kutaka kubisha tu.
Sehemu kubwa ya uchumi wa china inategemea Industrial sector kwa zaid ya asilimia 33. Data hizi huwa siyo industrial products zilizouzwa bali ni zile zilizotengenezwa viwandani hata kama hazikuuzwa; nitafafanua hili zaid huko mbeleni.
Sehemu ya pili ni biashara ya maduka ambayo inakaribia asilimia 10. Hii hutegemea thamani ya bidhaa zilizouzwa madukani. Wewe ukitoka Tabora ukaneda kununua dukani pale Shnghai basi unakuwa umechangia kwenye namba hizo.
Sehemu ya tatu ni Mabenk kuokopesha. Hili nitaliongelea huko mbeleni pia, lakini mabenki yanachangia kama asilimia 8.
Kuna mengine madogo madogo kama vile ujenzi (7%), Makazi (6%), na Uchukuzi (4%) na mengineo. Jedwali hili litasaidia kidogo
Matatizo yanaanzia huko juu. Kwenye industrial base, kulikuwa mchango wa viwada vya nje ambavyo vinaaaza kuondoka.. Lakini tatiz kubwa ni kwamba viwanda vingi vya ndani vilikuwa vinatengezea hatra substandarad ili kukuza namba halafu baadaye wanakuwa hawauzi producs hizo ingawa tayari ziko kwenye record ya kukokota GDP. Mifano michache ni hii hapa:
Ukija kwenye finacial sector utagundua kuwa matatizo ni makubwa sana hasa kwa vile selikali ya China indaiwa na mabenki 90% ya GDP na mabenki hayo. Transactions zote zinazofanywa na benk za china watu kuingiza benki au kuchukua pesa hata saiyo mikopo huwek kwenye mahesabu ya GBP. Tatizo ni kuwa benki nyingi za china zina matatizo ya liquidity; mvutano huu uliotokea kwenye mabenki ya china siku chache zilizopita zinaweza kukupa picha kamili; hata hivyo pesa zote zilizochukuliwa na depositors huhesabiwa pia kuwa ni sehemu ya GDP:
Kwenye construction nako kuna matatizo sana. Kila ujenzi hurekodiwa kwenye GDP. Wakijenga daraja likaangua basi gharama zote zilizotumika kulijenga bado zitaingizwa kwnye GDP. Kuna ujenzi mwingi China ambao umeripotiwa mara mbilimbili na kuwa inflated kwa sababu ya kubomoka. Hakuna mwaka ambao china imekamilisha ujenzi wa miradi yote bila asimilia 30 ya miradi hiyo kubomoka na kulazimika kuianza upya. Video zipo nyingi sana ila sitaweza kuziweka hapa kwa sababu natunza nafasi moja tu niliyo nayo kwenye sehemu ya makazi. Ubomokaji huu hutokana na kutaka kuonyesha kuwa wanajenga haraka na hivyo kusahahu kuwa zege lina mahesabu yake ye kussettle. Huwezi kulazimisha kuwrka mziko juu ya zege etu umalize mradi mapenma bila kuliacha lissetle, kwa hiyo miradi inayoanguka china ni mingi sana.
Kwenye makazi, kila mwaka china inajenga maflat mengi sana (ghost towns) kwa mikopo ya mabenki lakini maflati hayo hayana wakazi. Hata hivyo kwenye hesabu za GDP huwa yanahesabiwa. Haya yanachangia distortion mbili: kwanzamkopo unahesabiwa kule kwenye mabenki, halafu unahesabiwa tena kwenye ujenzi, lakinbi sasa mkopo huo unakuwa haurudishwi kwenye mabenki kwa vile nyumba zilizojengwa hazikununuliwa.
IMF na World bank wanachukua data hizo hizo wanzopwea na serikali lakini siyo data halizi zinaoonyesha uchumi wa nchi. Yule mama mchina ameeleza vizuri sana kuwa uchumi wa china bado mdogo sana kwa vile raia wake wengi sana bado ni maskini sana wakiishi chini ya dola moja.