Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Sikiliza hii kutokea ndani ya China. Walisema ustukane wakunga wakati uzazi ungalipo.
Vita vya propaganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza hii kutokea ndani ya China. Walisema ustukane wakunga wakati uzazi ungalipo.
Kwa hata hawa nao ni wapiga propaganda ambapo wao wenyewe ni wachina?Vita vya propaganda
Tishio kubwa baya ni kwa China kuikosa US ndio mana China vyovyote iwavyo anaibembeleza US hawezi fanya chochote, akiambiwa anaisaidia Urusi silaha anaruka mbingu na ardhi, US wakilianzisha Taiwan yeye anakuja chiniBaada ya kuona China hawezi kumwacha Mrusi, sasa Marekani kawa mpole kwa sababu timu ya BRICS ni tishio kwa Us kuliko silaha zote za nyuklia duniani.
Hasara kubwa ipo China iwapo ataikosa US, ndio maana China anabembeleza, China akiambiwa anaisaidia silaha Urusi anaruka anasema yeye hajawai na hatawai anaogopa vikwazo vya US kama mduduView attachment 2657466
Treasury Secretary Janet L. Yellen said on Tuesday that it would be a mistake for the United States to try to “decouple” from China and called for deepening economic ties between the world’s two largest economies.
The comments came as the Biden administration has been seeking to improve relations with China, which faced a setback this year when a Chinese surveillance balloon was found flying across the United States. Secretary of State Antony J. Blinken is planning to travel to Beijing next week and Ms. Yellen hopes to make a trip there soon.
Speaking at a House Financial services committee hearing on Tuesday, Ms. Yellen made clear that she believes the economic relationship with China is critical.
“I think we gain and China gains from trade and investment that is as open as possible, and it would be disastrous for us to attempt to decouple from China,” Ms. Yellen said.
The United States maintains tariffs that the Trump administration imposed on billions of dollars’ worth of Chinese imports, and the Biden administration is developing new restrictions on how U.S. companies can invest in China. But Ms. Yellen said that the United States intended only to “de-risk” the relationship and that it had no intention of inflicting economic harm on China.
“I certainly do not think it is in our interest to stifle the economic progress of the Chinese people,” Ms. Yellen said. “China has succeeded in lifting hundreds of millions of people out of poverty, and I think that’s something that we should applaud.”
FactsBaada ya kuona China hawezi kumwacha Mrusi, sasa Marekani kawa mpole kwa sababu timu ya BRICS ni tishio kwa Us kuliko silaha zote za nyuklia duniani.
Wengi uku mnatoaa maoni yenu kishabiki sana bila kuelewa kilichoongelewa na vp uhalisia wa uchumi wa dunia ulivyo saivi kinachotokea saivi chinaa kilitokea marekani baadaa ya matajiri wengi kuamishia makampuni yao marekani.Hasara kubwa ipo China iwapo ataikosa US, ndio maana China anabembeleza, China akiambiwa anaisaidia silaha Urusi anaruka anasema yeye hajawai na hatawai anaogopa vikwazo vya US kama mdudu
Jiang Zemin na Hu Jintao walikuwa maraisi kipindi cha Clinton, Bush na ObamaUchumi wa China uliitegemea sana Marekani na ulijengwa wakati wa Hu Jintao. Huyu jamaa yeye amekuja na zile fikra za kizamani za anti-US zinafofuatwa na Putin na ameanza kuharibu nchi yake. Usitukane wakunga wakati uzazi ungalipo.
Kwa yoyote mwenye knowledge ya biashara, atuambia China hawezi kusimama negative kwa US.Tishio kubwa baya ni kwa China kuikosa US ndio mana China vyovyote iwavyo anaibembeleza US hawezi fanya chochote, akiambiwa anaisaidia Urusi silaha anaruka mbingu na ardhi, US wakilianzisha Taiwan yeye anakuja chini
Unajua mshirika mkubwa wa kibiashara wa Marekani pale Asia ni China.Hasara kubwa ipo China iwapo ataikosa US, ndio maana China anabembeleza, China akiambiwa anaisaidia silaha Urusi anaruka anasema yeye hajawai na hatawai anaogopa vikwazo vya US kama mdudu
SI KWELISoko la China na uwekezaji wa China ni US ndo amefanya awe hapo.
Kama unakiri economic development ya china kuongezeka (pato la mtu mmoja mmoja) maana yake ni kuwa makampuni yatalazimika uko mbeleni kutafuta mataifa ambayo pato lake bado lipo chini ili kurun biashara zao kwa gharama nafuu.Wengi uku mnatoaa maoni yenu kishabiki sana bila kuelewa kilichoongelewa na vp uhalisia wa uchumi wa dunia ulivyo saivi kinachotokea saivi chinaa kilitokea marekani baadaa ya matajiri wengi kuamishia makampuni yao marekani.
Kwa kifupi tu hakuna kampuni yoyote ya ulaya au marekani itakayoweza kulikimbia soko LA China au kuamisha biashara zao China, purchasing power ya watu wa China inaongezeka kilaa uchwao pato LA mtu mmoja mmoja linakuwa kila siku japo bado kuna watu maskini wengi ila huwezi ifananishha China na India au Indonesia au Vietnam, bado China ndyo nchi inamatajiri wengi duniani baada ya marekani ata makampuni makubw ya ulayaa na marekani yataondoka bado China ina misuli mikubwa kwenye kubackup uchumi wake kinachogopesha zaidi makampuni makubwa ya ulaya na marekani ni kuwa siku yakiondoka China ndyo mwanzo wa kuaribu soko LA bidhaa zao sababu China anaweza toa bidhaa zilezile kwa bei nafuu na zenye ubora wa juu, misuli ya china saivi ni mikubwa sana kiuchumi ni ngumu sana kutunishiana misuli na marekani ila china alifanya ivyo kipindi cha trump marekani anajua silahaa yake iliyobaki ni chip siku china ana master hili basi ujue balaa litakuwa kubwa sana kwenye uchumi wa marekani shida uku ni wengi kumchukulia China kama kinchhi cha kawaida tu
Hapana mkuu, kasome Balance of Trade baina ya hizo nchi mbili. Kwa US kuna negative kubwa, anachoimport kutoka china ni kama nusu na zaidi ya kile yeye anachoexport kwenda China.Unajua mshirika mkubwa wa kibiashara wa Marekani ni China.
China na Marekani zinahitajiana sana kibiashara
Masuala y dola achana nayo mkuu maana yatafanya tuonekane Jf ni wendawazimu. Ishu ya kuishusha dola leo au kesho au ata wajukuu zao hawataweza kuona hilo.Marekani walijaribu Silaha ya mwisho kabisa ya ku control supply ya dola ili kuipandisha thamani lakini wapi…'chombo chazidi kwenda halijojo '
umenielewa kwanza?Masuala y dola achana nayo mkuu maana yatafanya tuonekane Jf ni wendawazimu. Ishu ya kuishusha dola leo au kesho au ata wajukuu zao hawataweza kuona hilo.
China walikuwa na long plans za ukuzaji wa uchumi wao tangu zamani enzi za chairman Mao.Kwa yoyote mwenye knowledge ya biashara, atuambia China hawezi kusimama negative kwa US.
Soko la China na uwekezaji wa China ni US ndo amefanya awe hapo. US na allies wake wakimuwekea vikwazo China, athari zitakazojitokeza China ni kubwa zaidi kuliko hata hapo Russia.
Mwaka jana Marekani aliingiza $150.4 billion kwa kuexport bidhaa China.Hapana mkuu, kasome Balance of Trade baina ya hizo nchi mbili. Kwa US kuna negative kubwa, anachoimport kutoka china ni kama nusu na zaidi ya kile yeye anachoexport kwenda China.
Wawekezaji wa mwanzo China baada ya mabadiliko ya sera za kiuchumi na ufunguzi walitoka Hongkong, Macau, TaiwanKwa yoyote mwenye knowledge ya biashara, atuambia China hawezi kusimama negative kwa US.
Soko la China na uwekezaji wa China ni US ndo amefanya awe hapo. US na allies wake wakimuwekea vikwazo China, athari zitakazojitokeza China ni kubwa zaidi kuliko hata hapo Russia.
Ujenzi wa uchumi wa China umeanza toka wakati wa Chairman Mao mpaka sasa wakati wa General secretary Xi sio wakati wa General secretary Hu pekee.Uchumi wa China uliitegemea sana Marekani na ulijengwa wakati wa Hu Jintao. Huyu jamaa yeye amekuja na zile fikra za kizamani za anti-US zinafofuatwa na Putin na ameanza kuharibu nchi yake. Usitukane wakunga wakati uzazi ungalipo.