Janga jingine lamkuta Emmanuel Mbasha, inadaiwa kaficha habari kuhusu mfanyakazi wake aliyejinyonga

Janga jingine lamkuta Emmanuel Mbasha, inadaiwa kaficha habari kuhusu mfanyakazi wake aliyejinyonga

yaani siku hizi ni shiidah!!
kuna msiba nilienda acha tu ikabidi nende mpaka kinondoni kuzika badala ya kuishia keko pale magorofani
maana ulikua wa kwenhe video

Binamu umenichekesha, eti na video juu, so ukasema sio ishu ngoja uuze na sura
 
Ila mi sijaona umuhimu wa kuweka msiba pale kwake. KAMA NDUGU HAWAPO DAR HUO MSIBA ANAMUWEKEA NANI? HAO MAJIRANI WANA UNDUGU NA MAREHEMU KAMA SIO UMBEA ULIOVUKA MPAKA?? mfyuu manina zao mfyuu, KAMA MISIBA WANAONA DILI WAWEKE KWAO mbwa hao mfyuu, msiba my foot

nashangaaaa!!!
ndgu singida...!!!
yeye kinamuwasha nini...?!!!
wangekua wema wangeambiwa ukiona hvyoo wanafki...!!
 
Mi bado sijaiamini hii habari coz ina upungufu mkubwa, hasa kwa taarifa za kifo lakini imekuwa kama taarifa ya Kigodoro. Bado sijaamini.
Ova
 
Binamu umenichekesha, eti na video juu, so ukasema sio ishu ngoja uuze na sura

yaani ule msiba sanduku linapelekwa na rimoti
for the first time i saw that...
nikawaambia wenzangu wakabisha
ili kumaliza tata ikabdi twende kinondoni kumaliza ubishi
ndo wakaamini
 
yaani ule msiba sanduku linapelekwa na rimoti
for the first time i saw that...
nikawaambia wenzangu wakabisha
ili kumaliza tata ikabdi twende kinondoni kumaliza ubishi
ndo wakaamini

Kinondoni ndio lilikuwepo au lilikua lishafunikwa na ardhii
 
Kinondoni ndio lilikuwepo au lilikua lishafunikwa na ardhii

tulienda kuzika sanduku linapelekwa na rimoti keenye yale magari maalum ya kubebea
shosti tulienda ili tuuze habari uswazi
 
Hapa ndo najiuliza....hao polisi hawakuuchunguza huo mwili? Na ile barua ya marehemu imeandikwa nini humo ndani na ina uzito upi?

Jamani mmeambiwa polisi walishafahamishwa. Polisi huwa hawachukulii mchezo mambo ya msiba. Kwa hiyo lazima wamechunguza wakaona Hamna wa kumuhunganisha. Kitu gani mnataka. Msizushe habari mpya. Kama mnaona tatizo nendeni polisi mkaulize na si uzushi
 
Attachments

  • 1415129132315.jpg
    1415129132315.jpg
    59.2 KB · Views: 169
Last edited by a moderator:
Jamani mmeambiwa polisi walishafahamishwa. Polisi huwa hawachukulii mchezo mambo ya msiba. Kwa hiyo lazima wamechunguza wakaona Hamna wa kumuhunganisha. Kitu gani mnataka. Msizushe habari mpya. Kama mnaona tatizo nendeni polisi mkaulize na si uzushi

shigongo kazini
 
Acheni kukuza mambo. Ni wapi wosia ulisema alibaka?
 
Back
Top Bottom