warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
wabongo kwa umbeà shida
Kama wewe ni mkenya kuna jukwaa lenu ukoo, so tupishee apa tujiachie na umbea wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wabongo kwa umbeà shida
yaani siku hizi ni shiidah!!
kuna msiba nilienda acha tu ikabidi nende mpaka kinondoni kuzika badala ya kuishia keko pale magorofani
maana ulikua wa kwenhe video
Mh...sijui siku hizi ni watu hawaumii wakifiwa jamani?inakuwaje mtu umefiwa unajipura/kuuramba?
Ila mi sijaona umuhimu wa kuweka msiba pale kwake. KAMA NDUGU HAWAPO DAR HUO MSIBA ANAMUWEKEA NANI? HAO MAJIRANI WANA UNDUGU NA MAREHEMU KAMA SIO UMBEA ULIOVUKA MPAKA?? mfyuu manina zao mfyuu, KAMA MISIBA WANAONA DILI WAWEKE KWAO mbwa hao mfyuu, msiba my foot
Binamu umenichekesha, eti na video juu, so ukasema sio ishu ngoja uuze na sura
yaani ule msiba sanduku linapelekwa na rimoti
for the first time i saw that...
nikawaambia wenzangu wakabisha
ili kumaliza tata ikabdi twende kinondoni kumaliza ubishi
ndo wakaamini
Mi ni mbea tu humu jf huku kwetu akuuuuu
Wananzengo wasije wakakuniga bure
Kinondoni ndio lilikuwepo au lilikua lishafunikwa na ardhii
tulienda kuzika sanduku linapelekwa na rimoti keenye yale magari maalum ya kubebea
shosti tulienda ili tuuze habari uswazi
Weeeee usutwee muke ya mutu aibuuuuu, umbea wa smartfon tu heloooooooo
Hapa ndo najiuliza....hao polisi hawakuuchunguza huo mwili? Na ile barua ya marehemu imeandikwa nini humo ndani na ina uzito upi?
Eeh huu umbea ni Hooot, aya Dinazarde, Kim nana, Mrembo by Nature, geniveros, Honey Faith, lusungo, Matola, mamaafacebook, sister, matumbo, zavi, ROBERT MICHAEL, BADILI TABIA, qn of sheba ebu piten uku
Wala.....Apa binamu nimeduwaaa, yani natetemeka, umbea raha jaman, haswa upate umbea exclusive kama huu.
Jamani mmeambiwa polisi walishafahamishwa. Polisi huwa hawachukulii mchezo mambo ya msiba. Kwa hiyo lazima wamechunguza wakaona Hamna wa kumuhunganisha. Kitu gani mnataka. Msizushe habari mpya. Kama mnaona tatizo nendeni polisi mkaulize na si uzushi