Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Huoni kama hizo rehab center ni fursa zenyewe mkuu?
Ni kama tu wajinga wanavokua wengi,CCM inashinda kwa kishindo
 
Baba jana nimepigwa 400K.
Bare in your mind hapo J3 nilipiga 800K ,, inshort gambling haswa betting pesa utakula lkn siku chache baada ya hapo sijui wanakutumia majini unapigwa vipigo mpk unaacha ndala.
Ukipata chochote unaingiwa na overconfidence unaanza kujilipua tu hapo sasa mhindi anapatia point zake.
Gamblers wengi wanapitia hii hali baada ya ushindi vinafuata vipigo vya maana.
 
Ebu tuwekane sawa kwanza; Ulaya na Marekani betting imekuwepo zaidi ya miaka mia. Kwanini wao hawana matatizo ya akili, halafu Wabongo tuwe na matatizo ya akili?
 
Ukipata chochote unaingiwa na overconfidence unaanza kujilipua tu hapo sasa mhindi anapatia point zake.
Gamblers wengi wanapitia hii hali baada ya ushindi vinafuata vipigo vya maana.
Kaka kwa akili ya kawaida huwezi kukubaki kuliwa pesa nyingi ila kutoka na uraibu akili ya kawaida haifanyi kazi hapo mwili,kila ukitaka kuacha huwezi kwasababu muda huo mwili unatakiwa kurelease dopamine ili ujisikie vema
 
Ebu tuwekane sawa kwanza; Ulaya na Marekani betting imekuwepo zaidi ya miaka mia. Kwanini wao hawana matatizo ya akili, halafu Wabongo tuwe na matatizo ya akili?
Hujafuatilia mkuu.
Betting wazungu wenyewe wanaiogopa kishenzi na ndio maana wana center za afya ya akili kwa matatizo ya kisaikolojia ikiwemo betting addiction.
 
Watu wametofautiana , hata pombe kuna ambao wanakunywa kama starehe na wengine wanakunywa na kuathirika , labda kitu na shangaa kwenye kamari iweje maskini acheze kamari? Hiyo ni michezo ya matajiri.
Hata kwenye pombe kwanini maskini anywe pombe?jibu ni kuwa unaanza kwa shilingi mia tatu ukithiri ndio unaanza kuweka madau makubwa na kuwa ndio utaratibu wako wa muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…