comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Huu ndio ukweli wenyewe. Ninaishi kwenye hii kanuni. Halafu pia kupunguza expectations pia. Just do it and don't keep much expectations. Ikitokea umepata, it's okay.Kubet ni hatari sana, inatakiwa uichukulie kama STAREHE, unabeti hata mara 1 kwa week na unaweka stake ndogo ambayo hata ukipoteza haikuathiri kitu, ukitaka kuifanya kama kazi ushapotea
ateKuna dogo aliweka 50k akala 3M baadae ya siku 4 alikutwa kajinyonga kumbe aliweka 3M apige 20M
Ndomanaake hakuna mafanikio bila risk ata mkulima kuna muda mvua zinakosa ukibeti kwa hisia lazima betting uione mbayaYaonyesha hizo game aliwekeza vilivyo ila zikamtatua ndio maana analialia. Angoje ligi zinaanza
Ukiwa na hela unastake highNaunga mkono.
Kuna mwaka jamaa nilimfululiza kumpiga mpk ikafika 4M within a two weeks , wee jamaa alianza kurudisha pesa yake kama masikhara, na betting ukiwa na hela basi hata stake zinabadilika.
Ni kama wagonjwaImagine mtu hahaha toka asubuhi Hana hata Mia, ukimpa efu 5 anapeleka yote kubeti
Nawaambia haya Vijana hawaelewi
Namjua mtu Iringa, alimpiga Kanji Mil 80, kupitia hiyo mil 80 sasa ni exporter wa maharage.
Namjua mtu Dom alimpiga kanji Mil 46, na sasa ni investor wa industry ya burudani.
Maisha hayana Formula.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
100%Betting ni mchezo wa kujifurahisha, ukiufanya kama kitega uchumi lazima ukufokonyoe 🔞
Kwaio wanataka uwape nao mbinu ya kula aiseeNiliwahi kufanya kazi kampuni ya betting miaka si chini ya mi5, Kuna watu walikua wanajua eti sisi wafanyakazi Tunajua mambo yatakuaje, wanasema tuwasaidie kubet, nikaona kweli wabongo wengi ni vilaza.
Umeona hayo matarajio ndio yanatumika kama mfano wa kupumbaza watuHaya matarajio ndio yanamaliza watu
Kwa jinsi uvyoiingiza ndio unavyoweka dau kubwaUkiwa na hela unastake high
Joanah siku hizi umeacha kubeti mwanetu? maana kabla ya VAR kuja ulikuwa unampuna sana kanji wewe na Big BoiNa ujinga wa baadhi ya wanaobet wanaamini ipo siku "watamlaza kanji na viatu"
Bila kujua determination ya kumla muhindi mtu anazidi kuwa addicted+kupoteza zaidi
Kutajirika kupitia betting ni ndoto ambayo wengi wanatakiwa kuamka kabla hawajajikojolea, hakunaga hela rahisi
Aisee matarajio makubwa zaidi ,kudhibiti hisia huyo amechukua maamuzi mabaya hapo, wapo hawa wanaoangamia taratibu bila msaada wa kitaalamu
Kwa hiyo mliwasaaidiaje?Niliwahi kufanya kazi kampuni ya betting miaka si chini ya mi5, Kuna watu walikua wanajua eti sisi wafanyakazi Tunajua mambo yatakuaje, wanasema tuwasaidie kubet, nikaona kweli wabongo wengi ni vilaza.
Wajinga ndio waliwaoNamjua mtu Iringa, alimpiga Kanji Mil 80, kupitia hiyo mil 80 sasa ni exporter wa maharage.
Namjua mtu Dom alimpiga kanji Mil 46, na sasa ni investor wa industry ya burudani.
Maisha hayana Formula.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unamwambia tu kua hakuna anaejua mechi zitaishaje, hata boss mwenye kampuniKwa hiyo mliwasaaidiaje?
Hivi kuna Mbongo mwenye hela ya kuweka kama burudani bila kutegemea kitu? 1/100Upo sawa ni burudani kama unatumia pesa uliyojiwekea kama gharama ya starehe, na uko tayari kuipoteza.
Na nikamari kama unategemea kubeti kukuletea pesa au kufidia hasara.
Hata wahanga wa kubashiri hawaweziUnamwambia tu kua hakuna anaejua mechi zitaishaje, hata boss mwenye kampuni