Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Data ndio dawa?Unalindaje RAIA kwa kutotoa data husika kuhusu hali ya Ugonjwa Nchini? Wiki ya tatu sasa hatujui kuna wagonjwa wangapi Nchini na vifo vingapi vya huu ugonjwa na sasa tunaona juhudi za KUTUZUGA Watanzania hata kuvaa BARAKOA hawavai tena. Mnadhani Ramaphosa ni MPUMBAVU kwa kuvaa Barakoa hadharani?
Wabunge WATATU wa ccm na wakuu mbali mbali ndani ya Serikali na ccm wamefariki kwa COVID lakini hili haliwekwi hadharani. Tuliambiwa kuna Mbunge ana Corona lakini hakutajwa. Kama kweli corona imepungua Nchini INAKUWAJE wanazificha data husika za kuthibitisha wanachokiongea? Unaongea kwamba ugonjwa umepungua kwa maneno matupu lakini huna data, hiyo ni hatari sana kwa Watanzania kwani wengi wataanza kudharau taratibu mbali za kujikinga na hivyo maambukizi kuendelea kote Nchini.
Shida yako una data zako za kichwani unazotaka kusikiaUnalindaje RAIA kwa kutotoa data husika kuhusu hali ya Ugonjwa Nchini? Wiki ya tatu sasa hatujui kuna wagonjwa wangapi Nchini na vifo vingapi vya huu ugonjwa na sasa tunaona juhudi za KUTUZUGA Watanzania hata kuvaa BARAKOA hawavai tena. Mnadhani Ramaphosa ni MPUMBAVU kwa kuvaa Barakoa hadharani?
Mbona povu?mbona mnahangaika kama aliebanwa na tumbo la kuhara? haya basi limempaisha, tukusaidie je?
Taratibu za kitabibu haziruhusu kumwanika mgonjwa hadharani. Suala la ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari.Ulisikia kwamba kuna Mbunge ana corona? Kwanini hadi leo jina la Mbunge huyo halijawekwa hadharani? Kwanini TUKAWA tunazugwa kwamba, "Amefariki kwa ugonjwa wa KUBANWA MBAVU" badala ya kusema ukweli? Kwanini mazishi yakalazimishwa kufanywa usiku usiku? Kuna watu wamezika ndugu zao hadi saa saba za usiku kwa kulazimishwa.
Angalia usije ukaanza kuabudu miungu, Magu hawezi kulinda watu, Mungu ndio analinda watu.Unataka aongoze kwa weledi upi? Km amekulinda Wewe hujafa na corona Unataka nini tena?
Nyie chadema ni giza totoro
Shida yako una data zako za kichwani unazotaka kusikia
Hukusikiliza hotuba ya rais magufuri ya mei 17 alipokuwa akitolea ufafanuzi juu ya mwenendo wa hali ya maambukizi nchini?
Kama hukusikiliza tafuta muda usikilize
Taratibu za kitabibu haziruhusu kumwanika mgonjwa hadharani. Suala la ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari.
Kumbe pamoja na kujifanya great thinker hata hilo nalo hulijui?
Sidhani kama wewe unaishi Tanzania? Na kama unaishi Tanzania basi Unau Lofa wa chadema na ACT wazalendo.Hilo janga limempaisha Rais "Magufuri" kisiasa kutoka hatua gani kwenda nyingine? Tayari Corona imeshageuka na kuwa siasa!
Kama Kiongozi Mkuu wa nchi, jukumu lake ni lipi sasa! Kupongezwa na kutukuzwa, au kuiongoza nchi kwa weredi na kwa kuifuata misingibya Katiba?
Nakuelewa mku point yako lakini itakusaidia nini ukijua idadi yao? Umeshaambiwa endelea kunawa maji na sabuni, tumia sanitizer pia vaa mask .Unalindaje RAIA kwa kutotoa data husika kuhusu hali ya Ugonjwa Nchini? Wiki ya tatu sasa hatujui kuna wagonjwa wangapi Nchini na vifo vingapi vya huu ugonjwa na sasa tunaona juhudi za KUTUZUGA Watanzania hata kuvaa BARAKOA hawavai tena. Mnadhani Ramaphosa ni MPUMBAVU kwa kuvaa Barakoa hadharani?
Nakuelewa mku point yako lakini itakusaidia nini ukijua idadi yao? Umeshaambiwa endelea kunawa maji na sabuni, tumia sanitizer pia vaa mask .