Janga la Corona limempaisha Rais Magufuli kisiasa

Data ndio dawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo sasa Covid19 inafanyiwa siasa na kucheza na roho za watu...

Inasikitisha sana...


Cc: mahondaw
 
Lete ushahidi kama wamekufa kwa korona.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili yake imejulikana Jinsi ilivyo dunia nzima, mashine ya kupimia damu ya binadamu,inapima mafenesi, oil, kwale, kondoo, mbuzi.
 
Ulisikia kwamba kuna Mbunge ana corona? Kwanini hadi leo jina la Mbunge huyo halijawekwa hadharani? Kwanini TUKAWA tunazugwa kwamba, "Amefariki kwa ugonjwa wa KUBANWA MBAVU" badala ya kusema ukweli? Kwanini mazishi yakalazimishwa kufanywa usiku usiku? Kuna watu wamezika ndugu zao hadi saa saba za usiku kwa kulazimishwa.

Lete ushahidi kama wamekufa kwa korona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hakuna kisa kipya hata kimoja na ni Mungu amejibu maombi na Jumapili tunasheherekea majibu ya hayo maombi![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Shida yako una data zako za kichwani unazotaka kusikia

Hukusikiliza hotuba ya rais magufuri ya mei 17 alipokuwa akitolea ufafanuzi juu ya mwenendo wa hali ya maambukizi nchini?

Kama hukusikiliza tafuta muda usikilize
 
Taratibu za kitabibu haziruhusu kumwanika mgonjwa hadharani. Suala la ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari.

Kumbe pamoja na kujifanya great thinker hata hilo nalo hulijui?
 
Unataka aongoze kwa weledi upi? Km amekulinda Wewe hujafa na corona Unataka nini tena?

Nyie chadema ni giza totoro
Angalia usije ukaanza kuabudu miungu, Magu hawezi kulinda watu, Mungu ndio analinda watu.

Zaburi 127:1, :Mungu asipoulinda mji waulindao wanafanya kazi bure".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Iko siku labda utakuwa na uwezo wa kuelewa kwa kina badala ya kukubali maelezo MUFILISI ambayo hayana UTHIBISHO WOWOTE.

Shida yako una data zako za kichwani unazotaka kusikia

Hukusikiliza hotuba ya rais magufuri ya mei 17 alipokuwa akitolea ufafanuzi juu ya mwenendo wa hali ya maambukizi nchini?

Kama hukusikiliza tafuta muda usikilize
 
Wakati huo huo Wizara ya Afya ilimpa info Bashite amuanike hadharani mtoto wa Mbowe. Kwa hiyo wizara ya afya ILISAHAU kama suala la mtoto wa Mbowe kuwa na covid ni siri ya mtoto huyo na daktari wake.
😷😷😷😷

Taratibu za kitabibu haziruhusu kumwanika mgonjwa hadharani. Suala la ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari.

Kumbe pamoja na kujifanya great thinker hata hilo nalo hulijui?
 
Kuna wanasiasa walilichukua janga la corona kama agenda ya kisiasa. Kina zitto na mbowe. Kibaya zaidi hawakujua kama tunaongozwa na genius.
Yaani wao takwimu zikitolewa lazima wapinge, kila siku wanafanya press conference na kutuma kwa mabeberu kuwa rais anapuuza vita ya corona sababu hafanyi lockdown.

Rais baada ya kuona jamaa wamegeuza siasa kuanzia takwimu, akapiga chini ili wabaki na takwimu zao wanazozijua.
Badala ya kupiga lockdown ndio kwanza kafungua vyuo na secondari huku uungwaji mkono ukiongezeka siku baada ya siku.

Walisema kajificha sababu anaogopa ndio kwanza kajichanganya katikati ya watu singida.

Wapinzani chali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama wewe unaishi Tanzania? Na kama unaishi Tanzania basi Unau Lofa wa chadema na ACT wazalendo.

Kwa jinsi Magufuli Alivyo simama kidete na kukataa kuwa mtumwa wa kuchukua mawazo ya wapinzani Ambao walikua wa nataka Serikali ichukue Hatua za mataifa yaliyoshindwa kukabiliana na corona.

Basi Upinzani Umekwisha Habari yake. Wakaja na swaga za kupost video za watu kuzikwa Usiku wakidhani watapata Kiki nayo ikawakataa.

Huku wananchi wakiwa angaliatu na sarakasi zao.

Kwa Taharifa yenu sasa tayari wananchi wamesha wangamua kwamba nyie ni vibaraka na hamna Uchungu nao zaidi ya Magufuli na chama chake cha Mapinduzi.

Na OCT 31 ndio mwisho wenu wa kuwepo katika medani za siasa Tanzania. Anzeni kujiandaa Kisaikolojia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha hao kina Bubu Ataka Kusema wahangaike na vibibi huko marekani, naona vimekufa vingi na huu ugonjwa wa COVID-19 sijui watapata wapi tena mpunga wa kutoa majungu na propaganda humu JF.
 
Nakuelewa mku point yako lakini itakusaidia nini ukijua idadi yao? Umeshaambiwa endelea kunawa maji na sabuni, tumia sanitizer pia vaa mask .
 
Duh! Kwani hizo Nchi zinazotoa data kila siku unadhani wanafanya hivyo ili kumfurahisha au kumsaidia BAK!? JIONGEZE kabla ya KUKURUPUKA.



Nakuelewa mku point yako lakini itakusaidia nini ukijua idadi yao? Umeshaambiwa endelea kunawa maji na sabuni, tumia sanitizer pia vaa mask .
 
PRINCE CROWN,
Shida ya ndugu zangu Viongozi wa Chadema walikuwa wanaangalia kwenye Tv huko Amerika na wazungu wengine wamefanyaje. Wakaona wamejifungia - Lockdown lakini wakashindwa kutwambia je sisi Tanzania tukijifungia chakula tunakipataje? Hapo ndo walipofeli wangekuja na solution ya chakula kwa wananchi maskini tungewaunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…