Akina Mbowe walilibeba kichwa kichwa eti liwape kiki likaishia kiwalipukia na wabunge wao kibao kukimbia. Kwa Rais Magufuli kuendelea kuwa stable juu ya maamuzi yake dhidi ya Corona ndani ya chama chake cha CCM, serilalini, kwa nchi zilizomzunguka na nchi zingine za kimataifa kumempaisha sana kama viongozi bora Barani Afrika!Hilo janga limempaisha Rais "Magufuri" kisiasa kutoka hatua gani kwenda nyingine? Tayari Corona imeshageuka na kuwa siasa!
Kama Kiongozi Mkuu wa nchi, jukumu lake ni lipi sasa! Kupongezwa na kutukuzwa, au kuiongoza nchi kwa weredi na kwa kuifuata misingibya Katiba?
Nadhani Rais anasifiwa kwa sababu ya mbinu na huo weredi wa kupambana na vita ya korona, Kwani kiongozi Katiba inasema nini kuhusu Korona? Hata askari hupongezwa anapokuwa ktk mapambano hatujawahi kusema "huo ni wajibu wake". Rais anaongoza mapambano ya kuokoa maisha wakati huohuo kuhakikisha uchumi hauyumbi kudhoofisha juhudi za mapambano sababu nchi inahitaji pesa kupambana na korona.Hilo janga limempaisha Rais "Magufuri" kisiasa kutoka hatua gani kwenda nyingine? Tayari Corona imeshageuka na kuwa siasa!
Kama Kiongozi Mkuu wa nchi, jukumu lake ni lipi sasa! Kupongezwa na kutukuzwa, au kuiongoza nchi kwa weredi na kwa kuifuata misingibya Katiba?
Uthibitisho gani unataka sasa?🤣🤣🤣🤣🤣 Iko siku labda utakuwa na uwezo wa kuelewa kwa kina badala ya kukubali maelezo MUFILISI ambayo hayana UTHIBISHO WOWOTE.
Najua umeumia baada ya matarajio yako ya kuona watanzania wanakufa kwa maelfu ili mpate mtoko wa kisiasa kushindwa kutimia
Ningemsifia Mbowe ungesema nina akili ila kwakuwa nimemsifia Rais magufuri imekuwa nongwa. HaHaHa this time around magufuri amewashika pabaya kweli kweliYaani sikujua kuna watanzania wako bado hawana akili.Wewe uhai wako unampaisha mtu chart duuu we have long way to go mpaka tufike kanani
Wewe umezika ndugu wangapi mpaka sasa kwa sababu ya corona?
Unalindaje RAIA kwa kutotoa data husika kuhusu hali ya Ugonjwa Nchini? Wiki ya tatu sasa hatujui kuna wagonjwa wangapi Nchini na vifo vingapi vya huu ugonjwa na sasa tunaona juhudi za KUTUZUGA Watanzania hata kuvaa BARAKOA hawavai tena. Mnadhani Ramaphosa ni MPUMBAVU kwa kuvaa Barakoa hadharani?
Uthibitisho gani unataka sasa?
HaHaHa
Endelea kumwamini kigogo na mange kimambi ila kaa ukijua watanzania wamewapuuza na mauongo yao
Uthibitisho gani unataka sasa?
HaHaHa
Endelea kumwamini kigogo na mange kimambi ila kaa ukijua watanzania wamewapuuza na mauongo yao
Unalindaje RAIA kwa kutotoa data husika kuhusu hali ya Ugonjwa Nchini? Wiki ya tatu sasa hatujui kuna wagonjwa wangapi Nchini na vifo vingapi vya huu ugonjwa na sasa tunaona juhudi za KUTUZUGA Watanzania hata kuvaa BARAKOA hawavai tena. Mnadhani Ramaphosa ni MPUMBAVU kwa kuvaa Barakoa hadharani?
Wabunge WATATU wa ccm na wakuu mbali mbali ndani ya Serikali na ccm wamefariki kwa COVID lakini hili haliwekwi hadharani. Tuliambiwa kuna Mbunge ana Corona lakini hakutajwa. Kama kweli corona imepungua Nchini INAKUWAJE wanazificha data husika za kuthibitisha wanachokiongea? Unaongea kwamba ugonjwa umepungua kwa maneno matupu lakini huna data, hiyo ni hatari sana kwa Watanzania kwani wengi wataanza kudharau taratibu mbali za kujikinga na hivyo maambukizi kuendelea kote Nchini.
Nyinyi watu wa Ccm acheni kuleta masihara dhidi ya hili janga la Corona! Lakini siwashangai maana hata kipindi kile cha kupatwa kwa jua, mlimpongeza pia Rais kwa kufanikisha tukio la kupatwa kwa jua nchini mwetu kiasi cha watalii wengi kumiminika kuja kulishuhudia hilo tukio.
Mimi naongezea na ili..ni muda sasa uzao wa JPM ndiyo upewe haki ya kuiongoza Tz sisi tuchague wabunge tu na madiwani.Naunga mkono hoja, tena jinsi rais Magufuli anavyokubalika, ingekuwa ni amri yangu, ningeamuru tufanye uchaguzi wa madiwani na wabunge tuu, kwenye urais, Rais Magufuli aendelee tuu, lakini kwa vile uchaguzi ni takwa la kikatiba, then, tuendelee tuu na hili miezi, la maandalizi ya uchaguzi Mkuu hata kama kwa upande wa urais litakuwa ni igizo tuu la uchaguzi, lakini Rais ni Magufuli!, na kwasababu Watanzania tunapenda saana maigizo
Swali hili
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
Bado liko valid
P