Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hoja. Hili hata mimi niliwahi kushauri humuMimi naongezea na ili..ni muda sasa uzao wa JPM ndiyo upewe haki ya kuiongoza Tz sisi tuchague wabunge tu na madiwani.
Ni muda muafaka tuwe na Absolute Monarchy
Anko kipindi SAA ngapi ,nitazame kdg nishamaliza kusali jumuia na kufanya mazoeziNaunga mkono hoja. Hili hata mimi niliwahi kushauri humu
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya... - JamiiForums
P
Mawinguni kama konki faya likwidi.Limempaishaje...?
Namna ambavyo Rais magufuri amejipambanua kukabiliana na janga la corona ni dhahiri amekonga nyoyo za walio wengi na hii imepelekea kupata uungwaji mkono na maelfu ya watanzania wakiwemo wa vyama vya upinzani.
Kitendo cha Rais Magufuli kutokubaliana na agenda ya kujifungia (LOCK DOWN) ambayo ndio ilikuwa agenda kuu ya upinzani, wananchi wamekipokea kama maamuzi sahihi ya kuwavusha katika kipindi hiki cha janga la corona dhidi ya baa la njaa na matatizo mengine ya kiuchumi.
Leo Rais Magufuli ametoa tamko la kufungua vyuo na shule kwa wanafunzi wa form six hili pia wananchi wamelipokea kama uamuzi wa busara kwa sababu linasaidia kulinda ajira za walimu wa shule na vyuo binafsi ambao walikuwa wanaishi katika kipindi kigumu kutokana na kusitishiwa mishahara yao. Hali kadhalika uamuzi huu unasaidia kulinda usalama wa wanafunzi dhidi ya vishawishi mitaani na hatari ya mimba za utotoni.
Kwa namna Rais Magufuli amejitoa na hatua alizochukua kukabiliana na corona hakika amepata wafuasi wengi hasa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. kwahivyo vyama vya upinzani vijipange kisawa sawa kwa sababu uchaguzi ujao utakuwa ni mgumu kwa upande wao baada ya kupoteza wafuasi wake kutokana na agenda zilizokosa credibility katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa corona.
Sambamba na hatua nzuri anazochukua Rais Magufuli kupambana na corona ni vema sasa akaangalia areas of weakness ambazo bado zinahitaji utatuzi mathalani suala la ajira kwa vijana, azitatue ili kufikia October wananchi wawe na kazi moja pekee ya kuchukua na kuweka waaa.
Mawinguni kama konki faya likwidi.
MATAGA ndio walivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wa mujini wanasema ULIKURUPUKA!
Ni kweli mku issue ya Lockdown kwa Chadema ilileta maafa na anguko. Wabunge wa Chadema walitaka tujifungie huku wakijua sisi kipato chetu hata week hakiwezi kumaliza. Walikuwa na pesa zao za kutosha kufanya Shopping hata ya miezi 3 na zaidi. Sasa walitaka sisi tukifungiwa tule nini katika kipindi cha Lockdown? Kweli walitusaliti!!!!Hakika janga la corona limewazamisha sana wapinzani na hoja yao ya kulazimisha lockdown, kulazimisha habari za uongo kwamba hali ni mbaya saana wakati watanzania wao wanadunda na maisha kama kawa.
Lockdown waliyoishabibia sana;
1. Imekosa kabisa uhalisia wa utekelezaji kwa nchi kama zetu. Madhara ya kukataa lockdown yameeleweka na yanaimbwa na wananchi wa kawaida kabisa.
2. Hata nchi za Ulaya/US zimekuja kuacha a na lockdown.
3. Faida zilizokuwa zinapigiwa upatu zimekuja kuonekana si halisia. Badala yake kuna consensus ya kwamba lockdown ina madhara na haifai kufuatwa
4. Mifano ya wananchi kuigomea lockdown iko wazi nchi nyingi wananchi wa kawaida wanaoandamana ikiwemo majirani zetu Kenya, Zambia, Afrika ya kusini.
Hata hivyo nawasifu viongozi wa upinzani kwa mshipa wa ung'ang'anizi! Wamejua lockdown haikubaliki na watanzania, haina faida za kiafya kama wanavyosema, kuna madhara makubwa zaidi ya lockdown, siyo mbinu inayopendwa tena! Lakini bado wameshindwa kukiri!
Ni kweli mku issue ya Lockdown kwa Chadema ilileta maafa na anguko. Wabunge wa Chadema walitaka tujifungie huku wakijua sisi kipato chetu hata week hakiwezi kumaliza. Walikuwa na pesa zao za kutosha kufanya Shopping hata ya miezi 3 na zaidi. Sasa walitaka sisi tukifungiwa tule nini katika kipindi cha Lockdown? Kweli walitusaliti!!!!
Kuna Rais alisema tulime Sana ili walio lock down waje kununua kwetu mahindi yenye sumu.Sawa. Lakini msimpuuze Uhuru Kenyatta aliyesema: uchumi twaweza ufufua lakini sisi hawezi fufua mtu.
Nimekudharau mnooMawinguni kama konki faya likwidi.
Kwa hiyo kwetu ndo kuna zaidi!!0 Subiri kidogo atakuja kukushika mkonoHuyu mzee anajua sana ndio maana kila kukicha mabeberu wanatafuta mbinu za kumuua ili wafanye biashara yao haramu ya chanjo za mRNA,barakoa,na vipimo hivi vipya vya kuchokonolea makalioni
Mahindi ya Uganda au Tanzania?Kuna Rais alisema tulime Sana ili walio lock down waje kununua kwetu mahindi yenye sumu.