Janga la Corona limempaisha Rais Magufuli kisiasa

Anapambanaje na covid 19? Kuna dawa yo yote aliyogundua kuponya covid 19?
Kipindi hicho kuliwa na hofu mbaya ya corona kuliko hiyo corona yenyewe kwahiyo alifanikiwa kupambana na hiyo hofu katika janga la corona.
 
Limempaishaje...?
Limepaisha kwenye duru mbali mbali za kitaifa na mataifa.

Kama unakumbuka yeye ndiye alikuwa wa kwanza kupinga Lockdown baadaye ikaja kuonekana kujifungia(lockdown) kwa nchi za afrika ni kuumiza wananchi

Akaja kwenye chanjo akasema si vyema kupokea chanjo na kuzitumia kabla ya kuzifanyia tafiti japo watu walipinga lakini hivi sasa hizo chanjo zimegundulika kuwa na madhara ambapo mataifa mbali mbali yakiwemo norway, Denmark, Germany, congo n.k yamesitisha upokeaji na utumiaji wa chanjo hizo.

Kwa haya mambo mawili ni dhahiri Rais magufuli ana maono ya kweli na mataifa yanaiga misimamo yake
 


TULISHASEMA TUSICHEZE NA MOTTO !
 
Sio mbinguni, mawinguni
Huko sawa tu. Nahofia kuwa akienda mbinguni atawakuta Ben Saanane, Azory Gwanda, Alfonsi Mawazo et la kama yule tajiri alivyomkuta Lazaro amekumbatiwa na Ibrahim! Kilangila.
 
Kwa sasa suala ni{- yuko wapi? na Ana hali gani? Isije ikawa korona imemdhibiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…