Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Nimemkubali Mbowe alipohojiwa na BBC Ni ngeli tupu halafu imenyookaMagu hawezi kuingia kwa Mbowe kwenye kujenga hoja na kujieleza. Mbowe ana exposure kubwa sana kimataifa. Magu huwa tunamuelewa sisi tu tunaomshabikia kama Simba na Yanga
Mkuu,Slow Slow kakata posho ya "data bundle",sasa 7000 haitoshi + kununua bundle. Msamehe bure na "double poverty" yake.Kwa hiyo unakanusha ukweli, hata video clips umewekewa si usikilize? Au Una bundle la kuungaunga
Siku zote ccm huwa hawana utetezi wa maana
Makonda anajua kila kituKuna anae jua uyu jamaa anapo tupeleka
Na siku hiyo hiyo mbowe atabambikiwa kesiMbowe kuongea BBC kujumlisha Hili siku akiongea kutoka chato Tutegemee povu la maana.
Tanzania sasa kuna Mkoloni kwani hujui kuwa ccm inatawala kikoloni kwa kuwatesa chadema na upinzani wengine Mkoloni ndiyo beberu kwa hiyo ccm nao ni mabeberu
Hatukuwapa uhuru.. ila tuliwapa msaada kwenye kutafuta uhuru.Tatizo nyinyi bado watoto! Ramaphosa kaitisha kikao cha nchi zinazoizunguka na ndizo zenye waathirika wengi wa COVID 19 SA.
Kuwa Mwenyekiti lazima uwe na msimamo. Vikao vya SADC huandaliwa na Secretariat na siyo Nchi. Tanzania ni Baba lao na wote hao tumewapa Uhuru kupitia kambi za Mazimbu, Dakawa n.k.
Acheni kushabikia mambo ya kitoto. Itisha wewe basi kikao na mkeo.
Hapa kuna tatizo. Kuna kitu kinaitwa kukubaliana kutokubaliana na ni kawaida. Hata hivyo, kukaa meza moja ni muhimu bila kujali mnakubaliana nini.JokaKuu, post: 35..hata mkutano wa wakuu wa EAC umeshindikana kwasababu Magufuli, Nkurunziza, na Salva Kiir, wameshindwa ku-connect na wenzao.
Tulisema mapema katika siasa za kimataifa tumetoweka kabisa na kupoteza influence yote tuliyokuwa nayo...tumefika mahali Tz iko fungu moja na Burundi, na South Sudan. Jambo hili haliko sawa.
Na sidhani kama lugha inaweza kuwa kikwazo kwani si viongozi wote duniani wanaongea lugha moja. Ninachokiona ni vision, kwamba, nini mtazamo na hoja inajengwaje au kubomolewa vipi...mimi nadhani tatizo ni msimamo na mtizamo wake kuhusu covid19 na hatua zinazopaswa kuchukuliwa. Siamini kama lugha ndio tatizo.
Hili lilifanyika mwanzoni mwa utawala na ilipofika wakati wa Tanzania kuwa mwenyeji wa SADCC ilikuwa kasheshe. Kila kiongozi alitaka kutuma mwakilishi ,tukaona zile ''ziara ''...Pia angeweza kuwakilishwa na VP, PM, au Waziri wa mambo ya nchi. Kwanini hilo halikufanyika?
Mkuu Dudus heshima tele kwako! teleconference kati ya Magu na waafrica wenzake wala isingeleta shida sana maana washamjua udhaifu wake upo wapi wanajua sana kuwa anafeli sana kwenye uongozi wake so am sure yeye wala asingekataa kuhudhuria kikao angeenda nao tu hivyo hivyo kibishi kibishi, sasa kama anakimbia hiki kikao cha wamatumbi wenzake hivi anaweza akahudhuria vile vyenye watu kutoka mataifa mengine, waarabu, wajapani, wahindi, walatin amerika, usa, ulaya? unajua hii inaharibia sana hata watanzania kupata kazi kwenye international organisation/multinational companies maana watasema kama rais wao yupo hivi na ni PHD holder je hao wananchi wengine wakoje? na then hii inaharibia hata soko la Elimu yetu huko nje maana mtu kasoma degree zake zoooote UDSM, na hiki ndiyo chuo namba 1 kwa ubora kwa Tanzania sasa ndiyo kinatoa graduate pumba namna hii? yaani MAGU anaibrandi Tanzania na watanzania vibaya mnoo sema sikio la kufa halisikii dawa, but ccm ulikuwa ni muda wa kumweka pembeni, wachague mgombe mwingine, dola impe ushindi na wao wawe wamejipungua hii aibu maana kwa miaka mitano au zaidi ijayo ni mwendelezo wa aibu juu ya aibu na uharibifu kwenye uchumi wa Tanzania... teleconference inatisha asikwambie mtu! Kama haujajipanga inakutia aibu vibaya sana.
Acha tu bro.....hii ni serikali ya kishetani kun awatu eti hawahojiwi hata manunuzi makubwa wanafanya kwa siri tena bila kufuata sheria......................Ghafla nimemkumbuka Ben saanane, kokote ulipo brother Ben mungu akubariki sana. ulifanya kazi ya kitume
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumisi si tuliambiwa TTCL kulishanoga si wana nduki internet bundle wale sasa walishindwaje kumkonnect rais? halafu nimeona wanatumia microsoft teams hii hainaga shida saana ya internet na ina usikivu mzuri tu, tena angeweka hata audio tu if ingekuwa hana strong internetKwani hapo burigi kuna speedy internet connection kuweza ku-facilitate hiyo video conferencing, mkiambiwa logistics hazijakamilika muwe mnaelewa basi..
Tatizo nyinyi bado watoto! Ramaphosa kaitisha kikao cha nchi zinazoizunguka na ndizo zenye waathirika wengi wa COVID 19 SA.
Kuwa Mwenyekiti lazima uwe na msimamo. Vikao vya SADC huandaliwa na Secretariat na siyo Nchi. Tanzania ni Baba lao na wote hao tumewapa Uhuru kupitia kambi za Mazimbu, Dakawa n.k.
Acheni kushabikia mambo ya kitoto. Itisha wewe basi kikao na mkeo.
Nyumisi si tuliambiwa TTCL kulishanoga si wana nduki internet bundle wale sasa walishindwaje kumkonnect rais? halafu nimeona wanatumia microsoft teams hii hainaga shida saana ya internet na ina usikivu mzuri tu, tena angeweka hata audio tu if ingekuwa hana strong internet
Ramaphosa kaitisha kikao cha nchi zinazoizunguka na ndizo zenye waathirika wengi wa COVID 19 SA.
Kuwa Mwenyekiti lazima uwe na msimamo. Vikao vya SADC huandaliwa na Secretariat na siyo Nchi.
Tanzania ni Baba lao na wote hao tumewapa Uhuru kupitia kambi za Mazimbu, Dakawa n.k.
Mkuu G Sam leo nafikiri huna hamu, huu uzi Jamaa wameuhariri zaidi ya mara 10, ile Where We Dare Talk Openly mdogo mdogo inazikwaMwenyekiti wa AU na Rais wa Afrika Kusini ndugu Cyrill Ramaphosa amelazimika kuitisha mkutano wa mataifa jirani ambayo pia ni wanachama wa jumuiya ya SADC.
Mkutano huo umefanyika kwa njia ya video. Nchi zilizoshiriki ni Afrika Kusini, Angola, Lesotho, Eswatini Msumbiji, Namibia na Zimbabwe.
View attachment 1443627
View attachment 1443648