It is very disappointing and disheartening.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Africa (SADC), Rais John Pombe Joseph Magufuli, aligoma kuitisha kikao cha Wakuu wenzake wa Jumuiya hiyo kilichofanyika mapema leo kwa njia ya Conference Call, licha ya kushauriwa kufanya hivyo na Rais Cyrille Ramaphosa wa South Africa. Kufuatia Uamuzi huo wa Rais Magufuli, Rais Ramaphosa aliamua kuitisha kikao hicho licha ya kutokuwa na cheo chochote katika Jumuiya hiyo. Rais Magufuli hakushiriki maana yeye alitaka Wakuu wenzake wamtumie maoni yao kwa maandishi.
CCM mna mzigo mkubwa mno mmeubeba japo mmejikaza kisabuni, Poleni sana.
Cyril Ramaphosa @CyrilRamaphosa
Sidhani kama hii habari ni kweli.Jiwe anaweza kuwa ana mapungufu yake,lkn si busara kumshutumu katika mambo ambayo si ya kweli.
Ukitembelea mtandao wa Ikulu ya Afrika Kusini,utaona ni mkutano wa nchi zinazopakana na Afrika Kusini na sio nchi za Africa nzima wanachama wa AU
Ni nchi za SADC mkuu, na aliyetoa taarifa hiyo ya jamaa kugoma ni rais wa SA.Sidhani kama hii habari ni kweli.Jiwe anaweza kuwa ana mapungufu yake,lkn si busara kumshutumu katika mambo ambayo si ya kweli.
Ukitembelea mtandao wa Ikulu ya Afrika Kusini,utaona ni mkutano wa nchi zinazopakana na Afrika Kusini na sio nchi za Africa nzima wanachama wa AU
President @CyrilRamaphosa has convened and will today chair a virtual consultative meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to the #coronavirus (COVID-19) pandemic. President Ramaphosa convenes a virtual meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to COVID-19 | The PresidencyBi nchi za SADC mkuu, na aliyetoa taarifa hiyo ya jamaa kugoma ni rais wa SA.
Yeye si kawaambia yuko kijijini na network inasumbua?
Nini hakieleweki Mkuu? .... baada ya Mwenyekiti wa SADC kuombwa na kugoma kuitisha kikao cha nchi wanachama Ramaphosa angefanyaje? Aliamua kuitisha cha nchi anazopakana nazo. But the best would be SADC summit to discuss the pandemic! ConsiglierePresident @CyrilRamaphosa has convened and will today chair a virtual consultative meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to the #coronavirus (COVID-19) pandemic. President Ramaphosa convenes a virtual meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to COVID-19 | The Presidency
Nimeelewa baada ya kusikia video.Asante sana..mimi nilipotoka kudhani Rais wetu anasingiziwaNini hakieleweki Mkuu? .... baada ya Mwenyekiti wa SADC kuombwa na kugoma kuitisha kikao cha nchi wanachama Ramaphosa angefanyaje? Aliamua kuitisha cha nchi anazopakana nazo. But the best would be SADC summit to discuss the pandemic!
Nakubaliana na wewe wanashindwa wafanyeje tu! Zamani wazee walikuwa wanasema Baba yako hata kama ni mchawi na wewe unajua kabisa anavyofanya uchawi wake utatumia nguvu zote kumtetea hadharani wakati unasutwa na nafsi na ipo siku utaropoka tu huyu Baba naye kila siku tunamwambia aache uchawi hasikiiiMwaka huu hata ambao akili tulizeweka bond lazima tu tukazichukue,
Mtu wetu kaamua kutia kwapani mpira na kutokomea kusikojulikana. Bahati mbaya mechi lazima iendelee hata kama timu yetu haina kocha na hata wachezaji tubaki saba.
Mungu tujalie ujasiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc: ConsigliereNimeelewa baada ya kusikia video.Asante sana..mimi nilipotoka kudhani Rais wetu anasingiziwa
Kumbe na wewe umesikia aibu nilidhani ni mimi peke yangu, tupo wengi naomba tujirekebishe kipindi kijacho tusifanye makosa tena.Huyu jamaa ananiabisha mimi!
Kha hata we Geza Ulole leo unaandika hivi, wale wakenya unaokuwaga nao kule kwenye Kenyan forum leo wamepata cha kusema, maana watasema waTzee ni wazembe ni watu wa kutoa udhuru, watasema si umeona hata Raisi wao anakimbia vikao na maraisi wenzake, then watasema waTzee hawafai pewa position kubwa kubwa za kimataifa au ambazo zinacross boda maana hawajimudu kuanzia Rais wao yaani aibuuuuuHii imekaa vibaya! Sasa alivyo anaogopwa sidhani kama NEC CCM inaweza kumshauri!
Ukisikia mwaka wa kuumbuka ndo huu! Watu wanawaza kuachana na paper work yeye hata kwenye majanga kama haya bado anataka makaratasi!! Bora hata angependekeza wachat kwa watsap basi kama video conference angeshindwa kuongeaNimeona hii, jamaa yetu anawaangusha sana wenzie, bora tu aachie huo uenyekiti wa SADC.
Jamaa yetu anataka wawasiliane kwa maandishi.
Ramaphosa hajaridhika na uamuzi wake kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
BebeDuh...!.
P
Sasa mkuu tuanzishe uzi wa kumtuhumu Rais kwa mambo makubwa hivyo kwa uongo ili itusaidie nini? Huyo ndiye kiongozi uliyekuwa ukimpigania.Nimeelewa baada ya kusikia video.Asante sana..mimi nilipotoka kudhani Rais wetu anasingiziwa