Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Sasa si inajulikana Meko ni mchawi?Bavicha mmeishiwa hoja
Wewe ukienda kijijini kwenu unaenda kuroga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si inajulikana Meko ni mchawi?Bavicha mmeishiwa hoja
Wewe ukienda kijijini kwenu unaenda kuroga?
Kwani siku hizi lugha inaweza kuwa tatizo?Kama yangekuwa ni maamuzi yake asingekubali uenyekiti wa SADC
Kama lugha haipandi angekataa
Mlikuwa mnampongeza humu alipopewa uenyekiti
Akili zenu hazina akili
Kabudi alikuwa amefuata dawa Madagascar utadhani yeye ni Waziri wa Afya. Sasa Jiwe akakosa mkalimani. Gerson Msigwa naye labda awe ana dictionary karibu..leo mzee mzima kachemsha yaani kama Mwenyekiti wa SADC hana excuse ya kukosa mkutano na head of states! Ndo maana nilisema atoke Chato akae Dodoma capital city! Kwenye crisis management nampa 0/10! Sasa mbona Mkapa (Guardian wake) asimshauri, kama Kabudi kashindwa? Amemea pembe sio?
Sasa nadhani umepata jibu kwanini hawaongei kiingereza.Sijawahi sikia
Ndiyo maana nikasema kutojua kiingereza sio tatizoSasa nadhani umepata jibu kwanini hawaongei kiingereza.
Ndiyo maana nikasema kutojua kiingereza sio tatizo
Kuna wakalimani
Mwenyekiti wa AU na Rais wa Afrika Kusini ndugu Cyrill Ramaphosa amelazimika kuitisha mkutano wa mataifa jirani ambayo pia ni wanachama wa jumuiya ya SADC.
Mkutano huo umefanyika kwa njia ya video. Nchi zilizoshiriki ni Afrika Kusini, Angola, Lesotho, Eswatini Msumbiji, Namibia na Zimbabwe.
View attachment 1443627
View attachment 1443648
Hujaelewa pointi yanguNi tatizo,umejifunza/umetumia kiingereza Primary,Secondary(O/A 'level),University(Bachelor,Masters,Ph.d),Kazini then unashindwaje kuifahamu lugha hio?
Nimekasirika Sana...Mkuu G Sam leo nafikiri huna hamu, huu uzi Jamaa wameuhariri zaidi ya mara 10, ile Where We Dare Talk Openly mdogo mdogo inazikwa
Vision ya Magufuli ni kujenga barabara tu, hamna rais pale" Hapa kuna tatizo. Kuna kitu kinaitwa kukubaliana kutokubaliana na ni kawaida. Hata hivyo, kukaa meza moja ni muhimu bila kujali mnakubaliana nini.
Ndivyo akina Nyerere, Kaunda, Khama, n.k. walivyoweza kutatua matatizo ya ukanda huu wakati huo.
Tulisema mapema katika siasa za kimataifa tumetoweka kabisa na kupoteza influence yote tuliyokuwa nayo. Na sidhani kama lugha inaweza kuwa kikwazo kwani si viongozi wote duniani wanaongea lugha moja. Ninachokiona ni vision, kwamba, nini mtazamo na hoja inajengwaje au kubomolewa vipi.
Hili lilifanyika mwanzoni mwa utawala na ilipofika wakati wa Tanzania kuwa mwenyeji wa SADCC ilikuwa kasheshe. Kila kiongozi alitaka kutuma mwakilishi ,tukaona zile ''ziara ''.
Kutuma mwakilishi katika Capacity ya Ukuu wa nchi ni ''dereliction of duties'
Nyerere alizungukwa na Manguli kama Salim Ahmed Salim, Hashim Mbita, J.Samwel Malecela, Ibrahimu Kaduma, Cleopa Msuya , Sokoine n.k. Pamoja na hayo ilipolazimu kiongozi wa nchi, alikwenda mwenyewe
Katika zama hizi kutuma uwakilishi si tu ni kutelekeza majukumu lakini pia tujiulize kuhusu wanaotumwa!
Ndio, Tanzania ni tajiri.Halafu mtu atasema Tanzania ni taajiri mbele yangu nimpige kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ilikuwa one way trafficKwani siku hizi lugha inaweza kuwa tatizo?
Bavicha mnajitoa ufahamu tu,,Rais kaongea chato dunia nzima imemsikia
Malawi na Zambia walihudhuria?Mwenyekiti wa AU na Rais wa Afrika Kusini ndugu Cyrill Ramaphosa amelazimika kuitisha mkutano wa mataifa jirani ambayo pia ni wanachama wa jumuiya ya SADC.
Mkutano huo umefanyika kwa njia ya video. Nchi zilizoshiriki ni Afrika Kusini, Angola, Lesotho, Eswatini Msumbiji, Namibia na Zimbabwe.
View attachment 1443627
View attachment 1443648