HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Alafu kitu nimegundua hawa madogo wanaolopoka lopoka haya mambo ndio wananyea watu vizuri

Sasa wanatunga nyuzi kama hzi kusikilizia watu wanawadhania vp
Hahaaa. Umejuaje mkuu?

Mimi nilishasema watu wanaopingapinga sana ushoga inawezekana na wao wana ubia katika mambo hayo.

Maana haiyumkiniki mtu kama mimi nafikiria wanawake, niache kufikiria wanawake, nianze kuwafikiria mashoga mpaka niwaanzishie uzi JF.

Lazima itakuwa kuna namna nawafikiria sana tu na pengine kuwatamani.

Na wengine ni mashoga wenye psychological effect inaitwa "self hate", yani wao ni mashoga wanaojichukia hivyo wanaweza kuja hapa kushambulia mashoga, wakati wao wenyewe ni mashoga.

Kuna wachungaji kibao wamekuwa wakishambulia sana mashoga, halafu wakakutwa na wao ni mashoga.

Nafikiri niliweka majina yao hapo juu.
 
Very powerful logic.

Naagiza malaika wakulinde huko ulipo.

Cc: Mbaga Jr
 
Haha a humand mind is a mystery.
 
Miafrika inapenda sana ujinga.

Mtu una matatizo chungu nzima ya msingi yanayoathiri jamii nzima, wewe unakomaa na swala ushoga lisilo na athari zozote kwako wala jamii. Ushoga wenyewe bongo ni Almost negligible.

Ukiulizwa unamjua shoga yeyote mtaani kwenu mbali na hao mnaodhani ni mashoga mitandaoni hamna jibu ila mnaweka nguvu zote kuwajadili wakati mna mambo mengine ya msingi hapo hapo mtaani kwenu yanayomgusa kila mmoja wenu.

Wewe kama unawaza ushoga muda wote hapo tatizo ni wewe na sio hao mashoga.
 
Nini hiki
Your browser is not able to display this video.
 
Wote left
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…