Hapana, mimi si shoga, na wala sihitaji kuwa shoga kutambua haki za binadamu.Kwahiyo ww shoga kumbe?
Kuendekeza mada kama hizi ndo kuupromote ushogaoh hallelujah!
tunakemea mkuu! au kuna namna nyingine ya kufanya?Kuendekeza mada kama hizi ndo kuupromote ushoga
Sitaki kwanza toka kwenye huu uzi hauna fundo wala nundutunakemea mkuu! au kuna namna nyingine ya kufanya?
sawa natoka!πSitaki kwanza toka kwenye huu uzi hauna fundo wala nundu
Safiisawa natoka!π
Mimi nimemwambia huku kijijini bado tunajua raisi ni Nyerere anakaza shingoYaani munavyoandika kwetu sisi ni vitu vigeni kabisa. Yaani kwa maisha yangu yote sijawahi kutana na shoga live. Yaani sijawahi ona hata mtu mumoja mwenye viashilia hivyo. Mi naona kama ushoga ni vitu vya mtandaoni tu wa kupotezea muda
πAcha ushoga
Harafu munaijua jamiiforums. Yaani munajua raisi ni nyerere ila munaijua m,pesa na airtel money. Basi hicho kijiji kinamaajabuMimi nimemwambia huku kijijini bado tunajua raisi ni Nyerere anakaza shingo
Duuh wew unaznguaYaani munavyoandika kwetu sisi ni vitu vigeni kabisa. Yaani kwa maisha yangu yote sijawahi kutana na shoga live. Yaani sijawahi ona hata mtu mumoja mwenye viashilia hivyo. Mi naona kama ushoga ni vitu vya mtandaoni tu wa kupotezea muda
Ni ujinga tu mkuu.Mimi nilipunguza kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu mtu kama kaamua kua shoga mwache tu na maisha yake kaamua kula unga mwache tu abugie unga maana aya yote hayana mwisho mzuri
Mimi vitu ambavyo havina impact moja kwa moja kwenye maisha yangu sina time navyo mpaka mtu anaamua kua shoga anakua hajui kwamba ushoga ni mbaya anakua anajua vizuri mtu kula unga mifano si iko mingi sana sasa kwanini mimi nijipe umuhimu kwenye maisha ya watuNi ujinga tu mkuu.
Chunguza sana nchi zenye kuwaandama sana mashoga ni nchi zenye watu wenye elimu ndogo na ufuatiliaji wa dini sana.
Watu wote waliosoma vizuri na kuanza kuondokana na ujinga wa kupangiana maisha kidini, wameacha kuandama mashoga, wanaendelea na maisha vizuri tu.
Mkuu, sasa hivi kuna nafasi kemkem za kutengeneza pesa kwenye uchumi wa AI, ila watu bado wanatazamana nani shoga.
Namna jamii inavyoamua kutumia muda wake inatuonesha mambo mengi kuhusu hiyo jamii.
Wanaowafuatilia mashoga sana inawezekana wana matatizo ya kisaikolojia.Mimi vitu ambavyo havina impact moja kwa moja kwenye maisha yangu sina time navyo mpaka mtu anaamua kua shoga anakua hajui kwamba ushoga ni mbaya anakua anajua vizuri mtu kula unga mifano si iko mingi sana sasa kwanini mimi nijipe umuhimu kwenye maisha ya watu
Kwenye watoto walindwe watoto wots, wa kike na kiume, kwenye ushoga na mambo yote ya sex. Hata bila ushoga.walindwe watoto wa kiume, mtu uko 18+ unaliwa umejitakia mwenyewe hakuna pepo wala homoni
Wanaowafuatilia mashoga sana inawezekana wana matatizo ya kisaikolojia.
Kwa nini uwafuatilie watu usiowapenda?
wanajipa umuhimu kwenye maisha ya watu kama wameshidwa wazazi wao wewe ni nani Itβs not my business kufuatiliaga vitu ambavyo mtu anatakiwa kuvijua tabia za mtu binafsi ambazo yeye mwenyewe anatakiwa kujua kwamba hiki ni kibaya mfano umezaliwa mwanaume pisi hii mishangazi ilivyo mizuri juzi nilienda taasisi moja serikali makao makuu jengo moja dodoma nilikutana na shangazi moja grory some body mshua wake kaskazini Kama mushi popote ulipo Wewe mshangazi mzuri πππ nitafute pesa nipeni diri aisee