Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

Give the devil his credit.

The Magufuli administration inherited a defunct and indebted airline and is since trying to revive and make the best of it.

I put all the blame at the doorstep of Jakaya Kikwete and his cronies including ex-CEO David Mattaka who run the company into the ground, saddling the country with untold billions worth of debts and lawsuits even as they personally lived high on a hog.

You don't expect a criminal cartel to be made of patriots, but if you rise to be president you should be a smidgeon of it, in the least. Shockingly, Kikwete never was any.
 
Sawa, wanadai sasa hivi kwasababu kampuni inafanya kazi na inaingiza mapato. Wakati ule ndege iko moja wafanyakazi 200 wangedai wangekisumbua tu.

Nashangaa hili leo siwasikii wale 'mradi wa JK au Mkapa'

Dah hiyo paragraph ya mwisho🤣🤣
 
..UJINGA wote huu umesababishwa na CCM na serikali zake.

..CCM ndiyo wahujumu na wasaliti wa nchi hii.
Serikali ni ya wananchi wa Tanzania ila kunawatu wanataka kutunyang'anya wakijidai ni ya CCM! Inamaana sisi wananchi hatuna chetu.
 
Sawa, wanadai sasa hivi kwasababu kampuni inafanya kazi na inaingiza mapato. Wakati ule ndege iko moja wafanyakazi 200 wangedai wangekisumbua tu.

Nashangaa hili leo siwasikii wale 'mradi wa JK au Mkapa'
Hivi aliyepita alikuwa na agenda gani na hii nchi?
Ni kama alikuwa kila akiamka tu anasign tu mikataba ya ajabu ajabu ili mradi,
Angepewa miaka mingine michache nadhani sasa hivi tungekuwa tunaelekea utumwani kama wakenya,
Halafu JPM anajaribu kuweka mambo sawa wanatokea wajinga wachache wanaaza kushangilia ujinga,
Hili nalo tutashinda.
 
Kwani madai haya yametokana na awamu ya 5 kuvunja mkataba wa ukodishwaji wa hiyo ndege???
 
Hao jamaa utawaona kwenye mafanikio. Ni wa Kwanza kusema 'huu ni mradi wa JK au Mkapa' ila kwenye hizi kesi ambazo zilisababishwa na awamu zilizopita huwasikii wakisema hivyo.
umenena vyema
 
Duh!.. hawa jamaa wameamua kutukomoa aisee.
Ila JPM amejitahidi Sana kuokoa hili shirika tofauti na awamu zilizopita (3&4) hawa walilizika kabisa hili shirika.
 
Duh!.. hawa jamaa wameamua kutukomoa aisee.
Ila JPM amejitahidi Sana kuokoa hili shirika tofauti na awamu zilizopita (3&4) hawa walilizika kabisa hili shirika.

Je, awamu 3&4 hawakutimiza WAJIBU WAO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…