Nakumbuka Mwanakijiji enzi zake akiwa Mkjj kweli aliandika sana hapa JF kuhusu David Mattaka na genge lake jinsi walivyokuwa wanaua ATC lakini hakuna aliyesikiliza wala kutoa ushauri ndani ya serikali, angalia hata mzee Utouh CAG naye alishauri lakini hakusikilizwa kama ilivyoandikwa hapo chini...
"In late 2012, the Controller and Auditor General of Tanzania, Ludovick Utouh, recommended the criminal prosecution of three former managers of ATCL for the 2007 lease of the Airbus A320 from Wallis Trading Company, a Lebanese company. He said there were massive misappropriation and mismanagement of the leasing agreement, resulting in an accumulated debt of US$41.4 million by October 2012, all of which is guaranteed by the government.
[46] The aircraft was in ATCL's possession for 48 months, but it spent 41 of those months in France undergoing a major maintenance"