Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

Msilete Taharuki Bure, Aliyetudai Ni Mkulima
 
Msilete Taharuki Bure, Aliyetudai Ni Mkulima
 
Tanzania inaogoza kwa kudaiwa kutokana na kuvunja mikataba kibabe. Ukisoma linki hii chini unaona kiasi cha pesa nyingi zinatakiwa kutengewa sasa na serikali ya Tanzania ili kuweza kulipa madai ya wadau wa maendeleo waliowekeza lakini serikali ya awamu ya tano ilidhani dhana ya sovereignty itaisaidia kukwepa majukumu yake ktk mikataba : African Arbitration Association - Arbitration News
 
Hii kampuni ingeuliwa na kutengeneza nyingine ambayo ipewe ndege zote za serikali
Mabeberu watabaki wanashitaki hewa
Kampuni ya simu Tanzania yatakiwa kulipa kampuni ya wills dola za kimerekani Milioni 30.
Kwa mujibu wa gazeti la citizen la kesho tarehe 27/02/2020

Gharama ya kununua dollar kwa sasa ni kama dollar 1=Tzs 2320

View attachment 1369863

Huawei Nova 6 5G
 
Hivi mnaoshabikia taarifa kama hizi nani kawaroga, huwa mnashangaz sana, nchi ikirudi nyuma ndio furaha yenu, mnasahau tatizo lolote litawahusu pia.
 
Hivi mnaoshabikia taarifa kama hizi nani kawaroga, huwa mnashangaz sana, nchi ikirudi nyuma ndio furaha yenu, mnasahau tatizo lolote litawahusu pia.
Si kwamba kila anayeanika haya anashabikia.

Napenda kusema kwa methali zenye hekima za wahenga.

Waswahili walisema, mficha maradhi, mauti humfichua.

Sasa unataka tufiche maradhi tufikwe na mauti?

Au tuyamulike maradhi tuyatibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeamia kwenye ndege, baada ya kwenye madini kupigwa "kiwiko cha pua". Pole mleta mada!
 
Kampuni ya simu Tanzania yatakiwa kulipa kampuni ya wills dola za kimerekani Milioni 30.
Kwa mujibu wa gazeti la citizen la kesho tarehe 27/02/2020

Gharama ya kununua dollar kwa sasa ni kama dollar 1=Tzs 2320

View attachment 1369863

Huawei Nova 6 5G
Wacha umazwazwa mkuu, hapo ndipo ma-ccm yanasema vijana wa upinzani ni nyumbu! Unayapa ma-ccm mileage ya kututukana wote, kichwa cha habari na magazeti yanasema ni ATCL, wewe introduction yako unasema TTCL! Nyumbu MKUBWA wewe!
 
Kampuni ya simu Tanzania yatakiwa kulipa kampuni ya wills dola za kimerekani Milioni 30.
Kwa mujibu wa gazeti la citizen la kesho tarehe 27/02/2020

Gharama ya kununua dollar kwa sasa ni kama dollar 1=Tzs 2320

View attachment 1369863

Huawei Nova 6 5G

Kila kukicha ni bora jana, loooo!!
 
Ufanye kitu kile kile halafu utegemee matokeo tofauti.

You all need to go through thread za watu wanaojiita wanasheria humu wenye malengo ya kushitaki makampuni; ndio ujue jinsi gani maswala ya business and contract law watu wanavyopwaya.

Hizi ndio sababu watu mara kwa mara huwa wanasema serikari iwe inatoa leaks ya hiyo mikataba kuna watanzania wengi sana wame specialise kwenye hayo mambo get different perspectives acha kutegemea ushauri wa watu wachache serikarini.

Yaani mtu akukodushe dege bovu kupitia mkataba wa kifisadi na bado unashindwa kesi; only in Tanzania
 
Msilete Taharuki Bure, Aliyetudai Ni Mkulima

‘’A court in the Uk ruled that national carrier pays a liberian company Willis Trading $30.1m in compesation plus interest for an aborted aircraft lease agreement entered in 2007’’

Mkulima amekuwa mliberia siku hizi? Kumbe naye alikuwa anatukodishia ndege 2007?

Lumumba mna fedha za kutosha kununua upinzani lakini hamna hela ya kumlipa Rasi Simba kuwabrush walau kidogo taarifa kama hizi zisiwaaibishe kama wewe ulivyokurupukia hapa bila kujua kilichoandikwa ni nini humo ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom