Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

Kampuni ya ndege Tanzania yatakiwa kulipa kampuni ya wills dola za kimerekani Milioni 30.
Kwa mujibu wa gazeti la citizen la kesho tarehe 27/02/2020

Gharama ya kununua dollar kwa sasa ni kama dollar 1=Tzs 2320

FB_IMG_1582746183877.jpeg


Huawei Nova 6 5G
 

Habari hii nimeisoma twitter kwa Zitto nikaona niwaletee wadau msipitwe.
30,000,000 x 2230 =66,900,00,0000.
[emoji867]
Walipwe tu ndogo sana kama tunakusanya 1.4 tirion kwa mwezi hizo kitu gani kuondoa kelele

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Habari hii nimeisoma twitter kwa Zitto nikaona niwaletee wadau msipitwe.

Mbona tutakoma ndo maana naogopa hata kupeleka wanangu huko....maana wanaweza hata wakashikiliwa mpaka tulipe..na serikali ilivyokuwa na kiburi..hata sitaki
 
Naona mambo yake kuwa mengi mda umekuwa kama hautoshi hivi....
 
Hii ATCL pamoja na kukwepa kuwa haina ndege ikisingizia ni mali za Wakala wa Ndege za Serikali, sheria bado inaibana ATCL na mdhamini wake ambaye ni serikali.

Hii ATCL ndege 'zake' dreamliner na airbus kweli zitaweza safiri kwenda nje ya Afrika au zaidi ya China ?
 
Back
Top Bottom