Acha Uzushi weweJanury aka risiti kwanza Mitihani ya Form Four aliozungusha pale Galanosi
Umeme wa solarAgawe majiko yanayotumia umeme
Acha Uzushi wewe
Kuiba pepa haimaanishi alipata yaiJanuary Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani Forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM...www.jamiiforums.com
Bei ya gesi imepanda Kwa wapinzani Tu Sisi wanaccm bado tunanunua Kwa bei ya zamaniTatizo gesi bei imepanda sana, shusha bei