January Makamba aliamua kulidanganya Taifa wakati akiwa waziri wa Nishati? Alikusudia nini?

Kupata janu ni moja ya watu WA hovyo kuwahi kutokea katika Dunia hii kapelekwa nishati anatuletea ngonjera badala ya umemešŸ˜ siku nikikutana nae ntampiga kibao

Matatizo yote yanayoendelea ya umeme ni yeye WA kulaumiwa hata kama hayupo tenašŸ˜•
 
Mh. January Makamba wakati anapewa wizara ya Nishati alitoka na swaga nyingi huku akituaminisha kwamba, amekuja na dawa ambayo mtangulizi wake Kalemani aliyekuwa waziri wa wizara hiyo kudai kwamba, alielekea kuharibu kabisa mitambo yote ya uzalishaji umeme

Yeye akadiriki kusema, kwa namna shirika hilo lilivyokuwa likiendeshwa bila kuwepo ukarabati wa mitambo hiyo, tatari ilikuwa linaelekea kuzikwa kabisa shirika hili la Tanesco

Yeye kama mtaalamu na mwenye uchungu na nchi, alisikitika sana na kumponda mno aliyekuwa mtangulizi wake bwana Kalemani huku akidai ushamba ulitangulia sana katika kuliendesha shilika hilo

Tokea hapo tukaanza kuona bajeti ya matrilion yakiombwa na wizara hiyo na fedha zote hizo akidai zinaelekezwa kwenye ununuzi wa mitambo mipya

Mh.Makamba kwa kinywa chake baada tu ya kuingia katika wizara hiyo, nchi ikaanza kuingia gizani kwa kukosa umeme huku akiwaomba wananchi wampe walao miezi sita ili waone maajabu na kwamba hakutatokea tena mgao wa umeme baada ya muda huo

Kipindi hiko ndio kipindi tulichoshuhudia mikataba mingi na ya mapesa mengi ukiwepo ule mkataba wa Wahindi wa bilioni zaidi ya 70

Hata hivyo, mpaka anatolewa katika wizara hii, bwana Makamba, hata yeye mwenyewe hawezi kueleza ni kitu gani amefanya na anajivunia licha ya kupewa matrilion ya mashilingi ili kuboresha shilika hilo

Kwa nini bwana Makamba aliamua kuudanya umma wa watanzania kuhusiana na kile alichokuwa akikisema katika ufufuaji wa shirika hili la Tanesco

Ni kipi amafanya tangu alipopewa nafasi hiyo zaidi ya kulididimiza shirika hili?

Tulitarajia kuona unafuu mara nne zaidi ya mtangulizi wake, lakini matokeo yake shirika limelika hadi kutu

Matokeo yake tunamgao wa umeme ambao haujawahi kuwepo miongo na miongo iliyopita

Kama tunawasomi wa aina hii, nakubaliana na vyuo vyetu kushika nafasi za mwisho huko balani Africa

Faida zipi bwana Makamba alikusudia azipate kutokana na uwongo wake kulihusu shirika la Tanesco?

Je huyu mwamba bwana Makamba, katika wizara zote alizowahi kuhudumu, ni nini anacho cha kujivunia na kutushawishi wananchi eti siku tumpe nafasi ya juu kwenye nchi yetu
Alitaka kuthibitisha wizi wa mitihani unalipa
 
Uko sawia kabisa
Watu kama kina Makamba nchi kama Asia angekuwa anachezea kifungo jela. JANUARI na Team yake ya akina Maharage walitumia TANESCO kujitajirisha.

Basically watu wote ambao JK au Team Msoga alimkabidhi Rais Samia hawakuwa na uwezo wa kikazi. Na hao ndiyo wameporomosha approval ya Samia mtaani vibaya sana.

Ila kama Januari Makamba ana ndoto za kuja kuwa mgombea uRais wa Tanzania, mwambieni asipoteze muda. HATOKUJA kuwa Rais wa nchi hii kwa kuwa performance yake ni VER VERY POOR
 
Shida makamba nae alidanganywa na TANESCO, hata wewe tukikupa uwaziri, TANESCO itakumeza yani matatizo yao yatakuwa na nguvu kuliko solution zako, ndo wote wanashindwa, Hadi wapewe private companies
Alishindwa nini kuwaajibisha kwa sabbu wpte walikuwa chini yake

Makamba ni muongo, kauli zake zote ni uwongo tupu
 
Huu mgawo mpaka utawala huu wa mama ukatapo maliza muda wake
Ila mjiandae uchaguzi ukikaribia,mtalegezwa kidogo
Mgawo utapungua...

Ova
 
Shida makamba nae alidanganywa na TANESCO, hata wewe tukikupa uwaziri, TANESCO itakumeza yani matatizo yao yatakuwa na nguvu kuliko solution zako, ndo wote wanashindwa, Hadi wapewe private companies
Tanesco Si aliwafuta wale wa Kalemani wote akaondoa akaweka wa kwake yeye yaan aliingia na genge lake, kwa hio unataka kusemaje genge lake lilimsaliti ambalo lipo mpaka sasa Ila yeye kachomolewa?
 
Wewe ndio ilikuwa unakata viuno humu kwamba sukuma gang imekomeshwa! Leo ndio unagundua kama huyu bibiako sasa hivi yuko hoi?
Kwa hiyo unataka niunge mkono Team Msoga tu bila sababu? Hauko objective
 
Tanesco Si aliwafuta wale wa Kalemani wote akaondoa akaweka wa kwake yeye yaan aliingia na genge lake, kwa hio unataka kusemaje genge lake lilimsaliti ambalo lipo mpaka sasa Ila yeye kachomolewa?
Anamapenzi binafsi na Jr
 
Mh. January Makamba wakati anapewa wizara ya Nishati alitoka na swaga nyingi huku akituaminisha kwamba, amekuja na dawa ambayo mtangulizi wake Kalemani aliyekuwa waziri wa wizara hiyo kudai kwamba, alielekea kuharibu kabisa mitambo yote ya uzalishaji umeme

Yeye akadiriki kusema, kwa namna shirika hilo lilivyokuwa likiendeshwa bila kuwepo ukarabati wa mitambo hiyo, tatari ilikuwa linaelekea kuzikwa kabisa shirika hili la Tanesco

Yeye kama mtaalamu na mwenye uchungu na nchi, alisikitika sana na kumponda mno aliyekuwa mtangulizi wake bwana Kalemani huku akidai ushamba ulitangulia sana katika kuliendesha shilika hilo

Tokea hapo tukaanza kuona bajeti ya matrilion yakiombwa na wizara hiyo na fedha zote hizo akidai zinaelekezwa kwenye ununuzi wa mitambo mipya

Mh.Makamba kwa kinywa chake baada tu ya kuingia katika wizara hiyo, nchi ikaanza kuingia gizani kwa kukosa umeme huku akiwaomba wananchi wampe walao miezi sita ili waone maajabu na kwamba hakutatokea tena mgao wa umeme baada ya muda huo

Kipindi hiko ndio kipindi tulichoshuhudia mikataba mingi na ya mapesa mengi ukiwepo ule mkataba wa Wahindi wa bilioni zaidi ya 70

Hata hivyo, mpaka anatolewa katika wizara hii, bwana Makamba, hata yeye mwenyewe hawezi kueleza ni kitu gani amefanya na anajivunia licha ya kupewa matrilion ya mashilingi ili kuboresha shilika hilo

Kwa nini bwana Makamba aliamua kuudanya umma wa watanzania kuhusiana na kile alichokuwa akikisema katika ufufuaji wa shirika hili la Tanesco

Ni kipi amafanya tangu alipopewa nafasi hiyo zaidi ya kulididimiza shirika hili?

Tulitarajia kuona unafuu mara nne zaidi ya mtangulizi wake, lakini matokeo yake shirika limelika hadi kutu

Matokeo yake tunamgao wa umeme ambao haujawahi kuwepo miongo na miongo iliyopita

Kama tunawasomi wa aina hii, nakubaliana na vyuo vyetu kushika nafasi za mwisho huko balani Africa

Faida zipi bwana Makamba alikusudia azipate kutokana na uwongo wake kulihusu shirika la Tanesco?

Je huyu mwamba bwana Makamba, katika wizara zote alizowahi kuhudumu, ni nini anacho cha kujivunia na kutushawishi wananchi eti siku tumpe nafasi ya juu kwenye nchi yetu
Sidhani kama tatizo ni jina la Waziri.
Akili fikirishi inasisitiza kuwa tatizo ni ccm yenyewe!
 
Natanani January Makamba ashitakiwe kwa kulitia hasara Taifa
 
Back
Top Bottom