January Makamba aliamua kulidanganya Taifa wakati akiwa waziri wa Nishati? Alikusudia nini?

Makamba amesaini mikataba inayoiumiza tanesco mpaka leo
Tatizo la Tanesco ni kujimilikisha miradi yote kuanzia kufua, kusambaza na kuuza umeme!
Na HAKUNA hata mradi mmoja wanafanya kwa usahihi!
 
Mh. January Makamba wakati anapewa wizara ya Nishati alitoka na swaga nyingi huku akituaminisha kwamba, amekuja na dawa ambayo mtangulizi wake Kalemani aliyekuwa waziri wa wizara hiyo kudai kwamba, alielekea kuharibu kabisa mitambo yote ya uzalishaji umeme

Yeye akadiriki kusema, kwa namna shirika hilo lilivyokuwa likiendeshwa bila kuwepo ukarabati wa mitambo hiyo, tatari ilikuwa linaelekea kuzikwa kabisa shirika hili la Tanesco

Yeye kama mtaalamu na mwenye uchungu na nchi, alisikitika sana na kumponda mno aliyekuwa mtangulizi wake bwana Kalemani huku akidai ushamba ulitangulia sana katika kuliendesha shilika hilo

Tokea hapo tukaanza kuona bajeti ya matrilion yakiombwa na wizara hiyo na fedha zote hizo akidai zinaelekezwa kwenye ununuzi wa mitambo mipya

Mh.Makamba kwa kinywa chake baada tu ya kuingia katika wizara hiyo, nchi ikaanza kuingia gizani kwa kukosa umeme huku akiwaomba wananchi wampe walao miezi sita ili waone maajabu na kwamba hakutatokea tena mgao wa umeme baada ya muda huo

Kipindi hiko ndio kipindi tulichoshuhudia mikataba mingi na ya mapesa mengi ukiwepo ule mkataba wa Wahindi wa bilioni zaidi ya 70

Hata hivyo, mpaka anatolewa katika wizara hii, bwana Makamba, hata yeye mwenyewe hawezi kueleza ni kitu gani amefanya na anajivunia licha ya kupewa matrilion ya mashilingi ili kuboresha shilika hilo

Kwa nini bwana Makamba aliamua kuudanya umma wa watanzania kuhusiana na kile alichokuwa akikisema katika ufufuaji wa shirika hili la Tanesco

Ni kipi amafanya tangu alipopewa nafasi hiyo zaidi ya kulididimiza shirika hili?

Tulitarajia kuona unafuu mara nne zaidi ya mtangulizi wake, lakini matokeo yake shirika limelika hadi kutu

Matokeo yake tunamgao wa umeme ambao haujawahi kuwepo miongo na miongo iliyopita

Kama tunawasomi wa aina hii, nakubaliana na vyuo vyetu kushika nafasi za mwisho huko balani Africa

Faida zipi bwana Makamba alikusudia azipate kutokana na uwongo wake kulihusu shirika la Tanesco?

Je huyu mwamba bwana Makamba, katika wizara zote alizowahi kuhudumu, ni nini anacho cha kujivunia na kutushawishi wananchi eti siku tumpe nafasi ya juu kwenye nchi yetu
hakuna makamba alichodanganya,kika alichosema ni sahihi,sasa wewe unatoa mapovu bila utafiti,ni kweli katika umeme kuna maeneo 3 generation yaani ufuaji wa umeme,transmition ya umeme yaanusafiraji wa umeme mkubwa na supply yaani usambazaji wa umeme kwa watumiaji.kila hatua kazi inaendelea mpaka sasa,kwenye ufuaji bwawa la mtera kazi inaenda kwa kasi kubwa sana,kwenye distribution kazi inaenda kwa kasi na hata kwenye supply,watu na viwanda nchi nzima wanaungiwa umeme,sasa usikurupuke kujamba puuu puuu kwa kuvimbiwa maharage
 
Wewe ndo Makamba?

Uliposema utashughurikia ndani ya miezi sita haukujua ukubwa wa tatizo?

Serikali ìlikuamini ikatoa bajeti kuubwa ambayo sjawahi kuisikia tangu nizaliwe kwa ajili ya wewe umalize tatizo la umeme, nazo zimeisha na hakuna umeme

Unasemaje kuhusu hayo bwana Makamba

Wewe ulipaswa ukamatwe na ufungwe kifungo cha maisha, kwani wewe ni mharibifu sana kwenye nchi hii
 
Makamba, mpaka wakina Nape..Hawa ni hewa vichwan, nafasi zao zonatokana na Wazazi wao.

Watu wa namna hii, Huwa hawana Solutions zaidi ya porojo na janja janja.

Hamuoni hata Mzee Wa Msoga, Urais wake alufanyia nn?? Lkn wakipewa Maiki sasa jukwaan na Waandishi habari, Huwa wanaongeaa misili ya kushushiwa Roho mtakatifu.

KWA UFUPI..WATU WA PWANI, HUWA NI MBUMBUMBU, WAACHIWE KUCHEZA NGOMA, ILA SIO KUTAWALA
 
Je huyu mwamba bwana Makamba, katika wizara zote alizowahi kuhudumu, ni nini anacho cha kujivunia na kutushawishi wananchi eti siku tumpe nafasi ya juu kwenye nchi yetu
Makamba alishawaachia wizara, mmeshindwa kazi sasa lawama kwa makamba za nini? Biteko mwenyewe mgao umemshinda mnaona aibu kumkosoa sasa mnataka mlaumu mtu aliyewapisha?
 
Hiyo mikataba aliyoiingia akiwa waziri hukumbuki mkuu, bajeti aliyompelekea Rais ili amalize kabisa mgao wa umeme unazikumbuka? Kiko wapi, ndio kwanza alikuwa akiliuwa kabisa shirika

January Makamba angelikuwa kwenye nchi kama China, tusingelikuwa naye
 
Yaani huyu kamba hueezi kukarabati mitambo yote kwa wakati mmoja mtera ‘kiansi, nyumba ya mungu,nyereree ujenzi nk.nk lazima utashindwa tu
 
Mh. January Makamba wakati anapewa wizara ya Nishati alitoka na swaga nyingi huku akituaminisha kwamba, amekuja na dawa ambayo mtangulizi wake Kalemani aliyekuwa waziri wa wizara hiyo kudai kwamba, alielekea kuharibu kabisa mitambo yote ya uzalishaji umeme

Yeye akadiriki kusema, kwa namna shirika hilo lilivyokuwa likiendeshwa bila kuwepo ukarabati wa mitambo hiyo, tatari ilikuwa linaelekea kuzikwa kabisa shirika hili la Tanesco

Yeye kama mtaalamu na mwenye uchungu na nchi, alisikitika sana na kumponda mno aliyekuwa mtangulizi wake bwana Kalemani huku akidai ushamba ulitangulia sana katika kuliendesha shilika hilo

Tokea hapo tukaanza kuona bajeti ya matrilion yakiombwa na wizara hiyo na fedha zote hizo akidai zinaelekezwa kwenye ununuzi wa mitambo mipya

Mh.Makamba kwa kinywa chake baada tu ya kuingia katika wizara hiyo, nchi ikaanza kuingia gizani kwa kukosa umeme huku akiwaomba wananchi wampe walao miezi sita ili waone maajabu na kwamba hakutatokea tena mgao wa umeme baada ya muda huo

Kipindi hiko ndio kipindi tulichoshuhudia mikataba mingi na ya mapesa mengi ukiwepo ule mkataba wa Wahindi wa bilioni zaidi ya 70

Hata hivyo, mpaka anatolewa katika wizara hii, bwana Makamba, hata yeye mwenyewe hawezi kueleza ni kitu gani amefanya na anajivunia licha ya kupewa matrilion ya mashilingi ili kuboresha shilika hilo

Kwa nini bwana Makamba aliamua kuudanya umma wa watanzania kuhusiana na kile alichokuwa akikisema katika ufufuaji wa shirika hili la Tanesco

Ni kipi amafanya tangu alipopewa nafasi hiyo zaidi ya kulididimiza shirika hili?

Tulitarajia kuona unafuu mara nne zaidi ya mtangulizi wake, lakini matokeo yake shirika limelika hadi kutu

Matokeo yake tunamgao wa umeme ambao haujawahi kuwepo miongo na miongo iliyopita

Kama tunawasomi wa aina hii, nakubaliana na vyuo vyetu kushika nafasi za mwisho huko balani Africa

Faida zipi bwana Makamba alikusudia azipate kutokana na uwongo wake kulihusu shirika la Tanesco?

Je huyu mwamba bwana Makamba, katika wizara zote alizowahi kuhudumu, ni nini anacho cha kujivunia na kutushawishi wananchi eti siku tumpe nafasi ya juu kwenye nchi yetu
Kama jina Lake ametufunga kamba shingoni
 
Huyu mwamba makamba mtoto wa mjini, anaogopeka na mama kishenzi mpaka kuteuliwa waziri wa mambo ya Nje, anaandaliwa kuwa rais ajae wa Tz, nchi Ina wenyewe hii
 
Watu kama kina Makamba nchi kama za Asia angekuwa anachezea kifungo jela. JANUARI na Team yake ya akina Maharage walitumia TANESCO kujitajirisha.

Basically watu wote ambao JK au Team Msoga alimkabidhi Rais Samia hawakuwa na uwezo wa kikazi. Na hao ndiyo wameporomosha approval ya Samia mtaani vibaya sana.

Ila kama Januari Makamba ana ndoto za kuja kuwa mgombea uRais wa Tanzania, mwambieni asipoteze muda. HATOKUJA kuwa Rais wa nchi hii kwa kuwa performance yake ni VER VERY POOR
Nyooo, hivi unaijua ccm wewe? Ukishasimamishwa na ccm kuwa mgombea urais wa Tz unapita Kwa ushindi wa kishindo, hata jiwe likisimamimishwa ligombee urais kupitia ccm Lina shinda Kwa ushindi wa kishindo

Bila tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, ccm itawapangia rais wa kuongoza nchi hii maisha yote mpaka mwisho wa ulimwengu
 
Huyu mwamba makamba mtoto wa mjini, anaogopeka na mama kishenzi mpaka kuteuliwa waziri wa mambo ya Nje, anaandaliwa kuwa rais ajae wa Tz, nchi Ina wenyewe hii
Anahitajika kukamatwa na kufungwa kifungo cha maisha
 
Hiyo mikataba aliyoiingia akiwa waziri hukumbuki mkuu, bajeti aliyompelekea Rais ili amalize kabisa mgao wa umeme unazikumbuka? Kiko wapi, ndio kwanza alikuwa akiliuwa kabisa shirika

January Makamba angelikuwa kwenye nchi kama China, tusingelikuwa naye
Sawa tufanye january alifanya makosa si alikuja Biteko.... amefanikiwa lipi? Nitajie hata moja hapa. Biteko aliahidi mgao kuisha ndani ya miezi mitatu. Why usimlaumu yeye, au mnaona aibu kuumbuka na Biteko wenu?
 
bajeti aliyompelekea Rais ili amalize kabisa mgao wa umeme unazikumbuka?
Aliomba Trillion 10, akawa anapewa kidogo kidogo mfano 500 B kwa mwaka so hauwezi mlaumu wakati mpaka anaondoka hakua amepata hata robo ya pesa aliyoomba.

Kiko wapi, ndio kwanza alikuwa akiliuwa kabisa shirika
Kiko wapi kivipi? Kwa mara ya kwanza Tanesco iliingiza profit.... pia aliuwa vipi shirika wakati chini yake ndio bwawa liliisha? Pia alikua anajenga kinyerezi 3 extension.... alibuni pia mradi wa Malagarasi.... pia umeme wa upepo huko upareni alihakikisha unakua funded sasa shirika lilikufaje? Leta data.....
mikataba aliyoiingia akiwa waziri hukumbuki mkuu
Mkataba gani ulikua mbaya? Nitajie hapa.....
 
Kigogo kuna kitu aliongea kuhusu mbunge mmoja kanda ya mashariki
Mh. January Makamba wakati anapewa wizara ya Nishati alitoka na swaga nyingi huku akituaminisha kwamba, amekuja na dawa ambayo mtangulizi wake Kalemani aliyekuwa waziri wa wizara hiyo kudai kwamba, alielekea kuharibu kabisa mitambo yote ya uzalishaji umeme

Yeye akadiriki kusema, kwa namna shirika hilo lilivyokuwa likiendeshwa bila kuwepo ukarabati wa mitambo hiyo, tatari ilikuwa linaelekea kuzikwa kabisa shirika hili la Tanesco

Yeye kama mtaalamu na mwenye uchungu na nchi, alisikitika sana na kumponda mno aliyekuwa mtangulizi wake bwana Kalemani huku akidai ushamba ulitangulia sana katika kuliendesha shilika hilo

Tokea hapo tukaanza kuona bajeti ya matrilion yakiombwa na wizara hiyo na fedha zote hizo akidai zinaelekezwa kwenye ununuzi wa mitambo mipya

Mh.Makamba kwa kinywa chake baada tu ya kuingia katika wizara hiyo, nchi ikaanza kuingia gizani kwa kukosa umeme huku akiwaomba wananchi wampe walao miezi sita ili waone maajabu na kwamba hakutatokea tena mgao wa umeme baada ya muda huo

Kipindi hiko ndio kipindi tulichoshuhudia mikataba mingi na ya mapesa mengi ukiwepo ule mkataba wa Wahindi wa bilioni zaidi ya 70

Hata hivyo, mpaka anatolewa katika wizara hii, bwana Makamba, hata yeye mwenyewe hawezi kueleza ni kitu gani amefanya na anajivunia licha ya kupewa matrilion ya mashilingi ili kuboresha shilika hilo

Kwa nini bwana Makamba aliamua kuudanya umma wa watanzania kuhusiana na kile alichokuwa akikisema katika ufufuaji wa shirika hili la Tanesco

Ni kipi amafanya tangu alipopewa nafasi hiyo zaidi ya kulididimiza shirika hili?

Tulitarajia kuona unafuu mara nne zaidi ya mtangulizi wake, lakini matokeo yake shirika limelika hadi kutu

Matokeo yake tunamgao wa umeme ambao haujawahi kuwepo miongo na miongo iliyopita

Kama tunawasomi wa aina hii, nakubaliana na vyuo vyetu kushika nafasi za mwisho huko balani Africa

Faida zipi bwana Makamba alikusudia azipate kutokana na uwongo wake kulihusu shirika la Tanesco?

Je huyu mwamba bwana Makamba, katika wizara zote alizowahi kuhudumu, ni nini anacho cha kujivunia na kutushawishi wananchi eti siku
 
Bado mnachuki na Makamba tuu mlipiga kelele kuwa yeye ndio anahujumu Tanesco na anafaidika na mgao wa umeme. Katolewa hiyo wizara muda mrefu sasa na kapewa Sukuma Gang mwenzenu badala hali ibadilike kama mlivyotarajia badala yake hali ya umeme ndio imezidi kuwa mbaya zaidi pamoja na mvua zote za mafuriko zinazonyesha nchi nzima. Wabongo punguzeni unafiki na kumchukia mtu pasipo sababu.
 
Nyooo, hivi unaijua ccm wewe? Ukishasimamishwa na ccm kuwa mgombea urais wa Tz unapita Kwa ushindi wa kishindo, hata jiwe likisimamimishwa ligombee urais kupitia ccm Lina shinda Kwa ushindi wa kishindo

Bila tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, ccm itawapangia rais wa kuongoza nchi hii maisha yote mpaka mwisho wa ulimwengu
Kwa taarifa yako wale wanaopania sana au kusemwa sana kuwa watakuwa marais huwa hawapati. Rejesha akili yako waweza kunielewa
 
Back
Top Bottom