January Makamba aliamua kulidanganya Taifa wakati akiwa waziri wa Nishati? Alikusudia nini?

Kupata janu ni moja ya watu WA hovyo kuwahi kutokea katika Dunia hii kapelekwa nishati anatuletea ngonjera badala ya umeme😏 siku nikikutana nae ntampiga kibao

Matatizo yote yanayoendelea ya umeme ni yeye WA kulaumiwa hata kama hayupo tena😕
 
Alitaka kuthibitisha wizi wa mitihani unalipa
 
Uko sawia kabisa
 
Shida makamba nae alidanganywa na TANESCO, hata wewe tukikupa uwaziri, TANESCO itakumeza yani matatizo yao yatakuwa na nguvu kuliko solution zako, ndo wote wanashindwa, Hadi wapewe private companies
Alishindwa nini kuwaajibisha kwa sabbu wpte walikuwa chini yake

Makamba ni muongo, kauli zake zote ni uwongo tupu
 
Huu mgawo mpaka utawala huu wa mama ukatapo maliza muda wake
Ila mjiandae uchaguzi ukikaribia,mtalegezwa kidogo
Mgawo utapungua...

Ova
 
Shida makamba nae alidanganywa na TANESCO, hata wewe tukikupa uwaziri, TANESCO itakumeza yani matatizo yao yatakuwa na nguvu kuliko solution zako, ndo wote wanashindwa, Hadi wapewe private companies
Tanesco Si aliwafuta wale wa Kalemani wote akaondoa akaweka wa kwake yeye yaan aliingia na genge lake, kwa hio unataka kusemaje genge lake lilimsaliti ambalo lipo mpaka sasa Ila yeye kachomolewa?
 
Wewe ndio ilikuwa unakata viuno humu kwamba sukuma gang imekomeshwa! Leo ndio unagundua kama huyu bibiako sasa hivi yuko hoi?
Kwa hiyo unataka niunge mkono Team Msoga tu bila sababu? Hauko objective
 
Tanesco Si aliwafuta wale wa Kalemani wote akaondoa akaweka wa kwake yeye yaan aliingia na genge lake, kwa hio unataka kusemaje genge lake lilimsaliti ambalo lipo mpaka sasa Ila yeye kachomolewa?
Anamapenzi binafsi na Jr
 
Sidhani kama tatizo ni jina la Waziri.
Akili fikirishi inasisitiza kuwa tatizo ni ccm yenyewe!
 
Natanani January Makamba ashitakiwe kwa kulitia hasara Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…