January Makamba alituambia alifanya ukarabati wa miundo mbinu ya umeme iliyochakaa. Sasa hizi hitilafu na katikakatika ya umeme inatoka wapi?

Ukilala ukiamka unamuwaza January Makamba tu! Kila siku kuanzisha nyuzi ya January Makamba vipi alikuchukulia mke nini?
 
We jamaa huu utakuwa Uzi wa 20+ unamzungumzia JANUARY MAKAMBA. Yaan kila ukiamka wewe unawaza Makamba Makamba Makamba. Wanaume hatupo hivyo, wivu wa kike umekujaa, utakuja pigwa PUMBU.
 
Bado kuna kundi la wahuni wa sukuma gang ndani ya Tanesco linamhujumu huyu waziri ambaye ndiye rais mtarajiwa
 
Wenyewe wamechukua nchi na CCM na kamwe hawataruhusu wageni kushika madaraka. Tutaipata enzi hiiii
 
Ni mchakato wakubinafsisha Tanesco.. tuhesabu siku tu

Hakuna cha mitambo kuchakaa wala nini yani
 
Boss kipara tangia aingie bei ya nishati ipanda tu na mwisho wa mwezi huu kauchuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…