January Makamba alituambia alifanya ukarabati wa miundo mbinu ya umeme iliyochakaa. Sasa hizi hitilafu na katikakatika ya umeme inatoka wapi?

January Makamba alituambia alifanya ukarabati wa miundo mbinu ya umeme iliyochakaa. Sasa hizi hitilafu na katikakatika ya umeme inatoka wapi?

hizo ndo elimu za havard ya mchongo na kukunja mashati nusu mkono[emoji23][emoji23][emoji23] ila niwashauri 2025 pigieni kura thithiemu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuliambiwa na January kuwa miundo mbinu ya umeme ilikuwa imechakaa sana. Hivyo ilihitaji ukarabati wa nguvu.

Ukarabati ulifanyika na sasa tunaona hitilafu kibao.

Mbaya zaidi umeme unakatika na kurudi ghafla kiasi cha kuharibu vifaa vya umeme vya watu.
Atakuambia mabwawa hayajajaa maji bado
 
Huu ni upuuzi mwisho wa uongo ni aibu!! Ni kweli tulikuwa na ukame ndani ya nchi na tulivumilia kwa hicho kipindi sasa hv mvua zinanyesha kila mahali!!

Tanesco na Wizara ya nishati wasifanye watanzania kuwa ni wajinga!! Mito imefurika sasa hv kinachofanya tunakuwa na mgao wa umeme nini?

Kipindi cha nyuma ukarabati wa mitambo na miundo mbinu yote ulifanyika kwa wiki kadhaa Tanzania nzima na tukavumilia, sasa hv shida nn tena?

Mwisho wa uongo ni aibu!! Watanzania siyo wajinga kiasi hicho hata mtoto hawezi nunua huo uongo hata kidogo!!

Bro Makamba hili linakuharibia sana kwa ile nafasi yako ya juu uliyokuwa unategemea!! Watanzania watakosa imani kwako kabisa!! Pambana bro huku site watu hawakuelewi kabisa!!
 
Ktk nchi hii kila kitu kinawezekana bwashee à
Huyu jamaa kujikuta smart na too much Know kumbe hamna kitu kilaza tu Kama Nape, madhara ya kupewa vyeo kwa majina ya Baba ndo shida zake hizi.Alafu na yeye ana dream za kuja kuwa rais[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom