Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
January hiyo Wizara ni kubwa sn kwakeHicho kiangazi kimeanza mwaka huu?
Ndio maana mwaka huu mvua zilinyesha chini ya wastani.Hicho kiangazi kimeanza mwaka huu?
Atakuambia mabwawa hayajajaa maji badoTuliambiwa na January kuwa miundo mbinu ya umeme ilikuwa imechakaa sana. Hivyo ilihitaji ukarabati wa nguvu.
Ukarabati ulifanyika na sasa tunaona hitilafu kibao.
Mbaya zaidi umeme unakatika na kurudi ghafla kiasi cha kuharibu vifaa vya umeme vya watu.
Ni wajinga na wapumbavu sana hawa kina marope!
Alikuwa anakatakata viuno akijaribu kumnanga Magu alifikiri muda utasimama?
Huyu jamaa kujikuta smart na too much Know kumbe hamna kitu kilaza tu Kama Nape, madhara ya kupewa vyeo kwa majina ya Baba ndo shida zake hizi.Alafu na yeye ana dream za kuja kuwa rais[emoji1787][emoji1787]
Jamaa muongo muongo sana
Atakuambia mabwawa hayajajaa maji bado
Ndo nini?Kalemani Sasa hivi anauza furu na nchima boyo