Huu ni upuuzi mwisho wa uongo ni aibu!! Ni kweli tulikuwa na ukame ndani ya nchi na tulivumilia kwa hicho kipindi sasa hv mvua zinanyesha kila mahali!!
Tanesco na Wizara ya nishati wasifanye watanzania kuwa ni wajinga!! Mito imefurika sasa hv kinachofanya tunakuwa na mgao wa umeme nini?
Kipindi cha nyuma ukarabati wa mitambo na miundo mbinu yote ulifanyika kwa wiki kadhaa Tanzania nzima na tukavumilia, sasa hv shida nn tena?
Mwisho wa uongo ni aibu!! Watanzania siyo wajinga kiasi hicho hata mtoto hawezi nunua huo uongo hata kidogo!!
Bro Makamba hili linakuharibia sana kwa ile nafasi yako ya juu uliyokuwa unategemea!! Watanzania watakosa imani kwako kabisa!! Pambana bro huku site watu hawakuelewi kabisa!!