Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kajamaa kanapiga hela sana.Mwizi mkubwa yule
Taarifa zake tunazo.
Kazi kunyoa upara tu na kukunja mashati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajamaa kanapiga hela sana.Mwizi mkubwa yule
Amewekwa kwenye mfumo kuibaKajamaa kanapiga hela sana.
Taarifa zake tunazo.
Kazi kunyoa upara tu na kukunja mashati.
Hilo sijui ila ndio vijana wa msoga hao.Amewekwa kwenye mfumo kuiba
Mfumo umejaa majangili tupuHilo sijui ila ndio vijana wa msoga hao.
Ukitaka chura alie mpaka agaregare chini mwambie amtoe huyo, nepi na yule mpigaji mwingine wa jikoni kabisa kwenye maswala ya milungula.
Hatuwezi kuweka Rais jambaziMnataka kuwadhulumu wakristo ???!
Patachimbika ! TEC unawajua au unawasikia !??!
Ngoja tuone nguvu ya TEC kama bado ipo au Kushney 😳🙄👍kwa hiyo 2025 twende na Makamba ?
Huyu dogo mtoa mada anaingia kwenye lile kundi la 'muue, saidia familia yake ili isahau'.Ni mambo ya aibu sn
Wewe ni mpumbavu sana!Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..
Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani mathalani kwenye masula ya amani, Elimu , chakula, afya, hali ya hewa, uwekezaji, utalii, uchumi, nishati, viwanda n.k, na kijana huyu amemuwakilisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan vizuri sana, pale ambao yeye binafsi anapokua ametingwa na majukumu mengine mazito ya urais ya kitaifa au kimataifa...
heshima na ushawishi wa Tanzania kimataifa ni wa kiwango cha juu sana hivi sasa. na matokeo yake fursa za masomo na ufadhili wa masomo nje ya nchi umeongezeka sana katika nyanja za sayansi, na teknolojia, ajira za walimu wa kiswahili na afya nje ya nchi, biashara, kumiminika kwa watalii na wawekezaji wa nje n.k
una shauri Mh.January Makamba waziri wa mambo ya nje ya nchi, aongeze juhudi zaidi eneo gani la kisiasa, kijamii au kiuchumi ili Tanzania iendelee kunufaika, kuaminika na kuheshimika zaidi duniani?🐒
Ivi inahitaji D ngapi kuwa chawa kwa maana levo yenu ya kufikiri inasikitisha sana.Namzungumzia January Makamba wa wizara ya Mambo ya Nje gentleman,
hizo risiti zake sijui mliuziana nini wap mtakutana nae maeneo mengine..
Lakini kiukweli,
muungwana amenyoosha mambo sana pale mambo ya nje. Tanzania is now among greatest country in world politics 🐒
😁🤢🤮🤧kijana wa watu yuko serious, focused na mwenye bidii sana kuhakikisha anawaletea wananchi wa jimbo la bumbuli maendeleo endelevu ya kisiasa, kijamii na kiuchumi na wana yafurahia...
huku pia akifanya juhudi na maarifa muafaka ya kizalendo sana, kuhakikisha heshima na wajibu wa Tanzania kwenye sura ya ulimwengu inaleta matokeo chanya miongini mwa mataifa ya dunia....
viva January Makamba viva,
kongole mh. rais,
comrade Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumpa nafasi kijana huyu...![]()
Wapumbavu nchi hii ni wengi sana.Unamsifia boya huyo.ww hujielewi.Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..
Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani mathalani kwenye masula ya amani, Elimu , chakula, afya, hali ya hewa, uwekezaji, utalii, uchumi, nishati, viwanda n.k, na kijana huyu amemuwakilisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan vizuri sana, pale ambao yeye binafsi anapokua ametingwa na majukumu mengine mazito ya urais ya kitaifa au kimataifa...
heshima na ushawishi wa Tanzania kimataifa ni wa kiwango cha juu sana hivi sasa. na matokeo yake fursa za masomo na ufadhili wa masomo nje ya nchi umeongezeka sana katika nyanja za sayansi, na teknolojia, ajira za walimu wa kiswahili na afya nje ya nchi, biashara, kumiminika kwa watalii na wawekezaji wa nje n.k
una shauri Mh.January Makamba waziri wa mambo ya nje ya nchi, aongeze juhudi zaidi eneo gani la kisiasa, kijamii au kiuchumi ili Tanzania iendelee kunufaika, kuaminika na kuheshimika zaidi duniani?🐒
Endelea kujidanganyaa mkuuMakamba siyo Msambaa ni Mhaya.
Kwa bahati mbaya labda unakuwa na idea ya makala, na pengine unakuwa na haraka ya kuiwasilisha hapa, hadi inakosa uzito unaohitajika kulingana na idea yake.Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..