January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

Wewe ni mpumbavu sana!
 
Ivi inahitaji D ngapi kuwa chawa kwa maana levo yenu ya kufikiri inasikitisha sana.
 
😁🤢🤮🤧
 
Wapumbavu nchi hii ni wengi sana.Unamsifia boya huyo.ww hujielewi.
 
Hilo sijui ila ndio vijana wa msoga hao.

Ukitaka chura alie mpaka agaregare chini mwambie amtoe huyo, nepi na yule mpigaji mwingine wa jikoni kabisa kwenye maswala ya milungula.
una stroke ya upara wewe 🤣
 
Kwa bahati mbaya labda unakuwa na idea ya makala, na pengine unakuwa na haraka ya kuiwasilisha hapa, hadi inakosa uzito unaohitajika kulingana na idea yake.

Kwa mfano hii, unaona kabisa kuna details zilihitajika, hasa za namba ili tuone tofauti ya sasa na kabla ya sasa . Hapo tunaweza kupongeza kwa hatua hiyo.

Lakini, kwa hii naona kama kupamba mtu kwa kutulazimisha na sisi tuoe pongezi bila kupata nafasi ya kupima. So, ungejaza details ingekuwa vizuri zaidi.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…