January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

Utulivu au hakuna miradi yenye maokoyo ya kukwapua?..... unajitoa ufahamu alichofanya Wizara ya nishati?
 
Asante mkuu kwa kuliuona hilo na wewe..hawa jamaa wanatuona sisi wajinga sana. Eti anakuja huku kusifia.
mwisho wa ujinga ndio mwanzo wa uerevu...

ni hatari wajinga kujikusanya pamoja maana wanaweza wakakubaliana hata kujitumbukiza ziwani huku wanaona wenzao wakizama na kutafunwa na mamba lakini wanaendelea kutumbikia hadi waishe wote dah!πŸ’
 
Utulivu au hakuna miradi yenye maokoyo ya kukwapua?..... unajitoa ufahamu alichofanya Wizara ya nishati?
mambo yanabadilika gentleman,
huoni kule Arusha kuna jamaa alikuaga mnyang'anyi wa malori ya watu na sasa ni nabii?🀣

kukariri ni mambo ya kizamani sana πŸ’
 
mbona mpango ni mzuri sana,
hapo Kenya tu tuna mgorofa moja mkubwa mno, halafu matata sana wa Tz, kumbi za aina mbalimbali, malls na miofisi mikubwa kubwa ya kitaifa na kimataifa imesheheni humo,

kuna ubaya gani tukipata maokoto kwa namna hiyo pia πŸ’
 
Toka lini watanzania wanafatilia maswala ya mambo ya nje,hizo ni Wizara zisizokuwa na mchecheto.

Ili tujue yeye ameiva kwenye uongozi,apewe Wizara zainagusa Wananchi moja kwa moja kama Ardhi,Umeme,Maji au TAMISEMI uone kama hajachemka.
kwahiyo diaspora, wanafunzi, wafanyabiashara sio wananchi?

by the way,
kama hamfuatilii, huu ndio mrejesho sasa wa kinachoendelea πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…