johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata wao wenyewe wameanza kuona aibu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..
Refa kaharibu mechi
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kueleza ukweli wako haimaanishi kwamba unaona aibu!Hata wao wenyewe wameanza kuona aibu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..
Refa kaharibu mechi
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Naam sio aibu ni fedheha, aibu anapaswa kuona mwenyekiti wa chamaKueleza ukweli wako haimaanishi kwamba unaona aibu!
Ulevi wa madaraka kiasi linajitokeza tabaka la watu wachache kuamini wao Ndio wenye highest supreme powerKwahio wajumbe wachache wa Chama pamoja na Chama cha Siasa ndio kinachagulia kiongozi jamii nzima ?, Ni wakati muafaka kuleta mgombea binafsi na kuweka limit kwenye matumizi ya pesa kwenye kampeni...
Endapo Tundu.angefanikiwa kuweka pingamizi lake kwa Magufuli je usingefulahi?Nafsi zimeanza kuwasuta. Hata utajiri wa dhuluma huwa unamsononesha sana mhusika.
Siajabu we ni mtoto, Sasa nini maana ya kuwepo wapiga kura?Endapo Tundu.angefanikiwa kuweka pingamizi lake kwa Magufuli je usingefulahi?
Kueleza ukweli wako haimaanishi kwamba unaona aibu!
Nakubaliana na wewe kabisa...... Mtu kama Devotha Minja hawezi kukataa " mzigo" wa Aboud wakati anajua uchaguzi hashindi!'Nahisi' Mchezo uliofanyika mwaka huu Nchi nzima hasa kwny majimbo yote ya watoto wa Mjini ilikuwa ni 'kukaa mezani' na wapinzani wako na kuwaomba wakosee kujaza fomu za uteuzi then wanawekeana Pingamizi wao kwa wao mwishowe wote wanakatwa unabaki peke yako
Devotha Minja,muhuni tu. Mchaga Yule kwenda kuchukua chake kapotezeaNakubaliana na wewe kabisa...... Mtu kama Devotha Minja hawezi kukataa " mzigo" wa Aboud wakati anajua uchaguzi hashindi!