Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujembe gani ... kwamba alikua anataka ushindani? 😂Makamba kuna UJUMBE ANAUFIKISHA MAHALI
MESEJI SENTI ENDI DELIVAD
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mgombea binafsi hawezi kuenguliwa? Labda atokee chama tawala awekwe kama zuga.Kwahio wajumbe wachache wa Chama pamoja na Chama cha Siasa ndio kinachagulia kiongozi jamii nzima ?, Ni wakati muafaka kuleta mgombea binafsi na kuweka limit kwenye matumizi ya pesa kwenye kampeni...
Kwamba, amesikitika sana kupitishwa!Ujembe gani ... kwamba alikua anataka ushindani? 😂
Kweli ni aibu tupu!Hata wao wenyewe wameanza kuona aibu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..
Refa kaharibu mechi
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sasa sindo ufanye calculations mzee??January Makamba anasema mwaka 2015 kwenye kura za ubunge alifaulu kwa 84% na mwaka huu baada ya kufanya kazi kubwa jimboni alitegemea kufaulu kwa 90%.
Lakini kwa bahati mbaya kwa yale yaliyotokea amejikuta tayari amepitishwa kuwa mbunge jambo ambalo halimpi fahari yoyote kama mwanasiasa " hai".
January amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter.
My take: January kupitishwa bila kupingwa ni ufaulu wa % ngapi?
Maendeleo hayana vyama!
Kwamba amefaulu kwa 100%Sasa sindo ufanye calculations mzee??
Unamuonea January katika hilu!Manafiki mkubwa mbona sijamsikia hata siku moja akikemea uhuni na ujambazi was kidemokrasia unaofanywa na chama chake.
utaengua wangapi ? wale wote ambao wengine huenda walikuwa kama ishirini wajumbe wakawapunguza huenda kila raia angefanya kazi ya wajumbe..., pia kuweka limit kwenye kiasi cha pesa cha kampeni kutaondoa hii advantage isiyo sawa ya chama tawala iliyochukua vyanzo vya mapato vya nchi, na wengine..., pia ili watu wajue nani anasema nini waweke midahalo ambayo itawapa platform wagombea wote (kwenye radio na TV ya taifa) TBC ili wananchi wapate kumsikia kila mgombeaMgombea binafsi hawezi kuenguliwa? Labda atokee chama tawala awekwe kama zuga.
Ujembe gani ... kwamba alikua anataka ushindani? [emoji23]
Mwenyekiti wa chama na NEC wapi na wapi bwashee?!Ujumbe kwa mwenyekiti wake wa chama.
Aache kucheza rafu
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Bwashee usisahau Mkurugenzi alishawahi kugombea na kugombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama chetu..hivyo ni wa kwetu kabisa kabisaa..japo kisheria NEC hawana uhusiano na Mwenyekiti wetu..😛😛.Mwenyekiti wa chama na NEC wapi na wapi bwashee?!